Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Utakuwa unakaribia menopause.....so unaingia kwenye hatuna ya kuwa Bibi hayo masuala huwa sio deal Tena,,,thus why kina Bibi wengi wanaanzaga kulala na wajukuu na kumuacha babu peke yake
 
Wanaume wametokwa povu kwenye huu uzi

Nikuambie tu hiyo hutokea mmeshazoeana
Yaani shemu hana jipya unajua kuwa ataanzia manyonyo ataishia mmmmmmh

Kifupi umemkinai

Mazoea!!
Na Nini dawa ya Kinai!? Na ndiyo shoga yenu anataka! Kinai ya miaka 6 sijapata ona ndiyo naisikia kwa mara ya kwanza humu!!!
 
Alikuuzi,au kukufanyia tukio ambalo huwezi lisahau, ulimfumania, eidha na dada au jorani.
Familia yake inamaneno maneno kukuhusu km anajifanya mzungu sana.
Hawajibiki.km baba ndani ada kodi na majukumu yoote unafanya wewe.
Ulishawahi kuchepuka ukaona machejo mengine ukaona huyu kuku viiiipi mbona huku ndiyo penye kuliko kule ndani.
Mchafu hakipendi yuko bize saaana na kazi hana muda nawe hata ya kuangalia tuu taarifa ya habari.
Anamajibi ya hovyo kila mkiwa pamoja kiasi kwamba mkiwa mbele za watu unahofu atakuabisha muda wowote.
Soma alafu tujadili mpendwa ila ndoa ni taasisi pana, na huwezi ishi kopi ya mwenzio.
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu​
Wewe mwanamke una vinasaba vya umalaya. .. hufai kuwa mke
 
Kwa ambao hayajawafika mwaweza comment vibaya ,hii hali wanawake wengi sana inawapata,hata mimi lakini nimejifanyia tathmin ,mume wangu yupo very rude ,yaani ni mtu wa kufoka sana na mwepesi wa hasira hivyo kipigo hata kwa kosa dogo atakupiga ,kwa familia ni baba bora sana ,ila kwa mke kafail unanitahidi kumtimizia na kumtii kama mke but una kuta ndiyo nature yake mpka mwenyewe anakili kuwa hata kazini wanamsema ni mkali sana anawezaje kuishi na mkewe ? Sasa come back wanawake akikutana na mwanume wa aina hii anaishi kwa kuvumilia ila upendo unaisha kwa mumewe,kwani mwanamume hana habari na mke,mimi hii hali naongea coz naiptia tangu nimeolewa sijawahi ambiwa neno nakupenda ,nimekumiss but huwa nakuta text za michepuko so huwa tunagombana sana na mr ,nikamwambia kuwa kumbe una uwezo wa kuaambia wengine nimekumiss ,mimi nikumbia au kutext unajibu ahsante but hujawahi niambia hata siku 1 ,hii hali haziwezi kupoteza hisia na mwezni wako tusijudge tu negative lazima vyanzo vipo ,but mimi totally imepelkea mpaka sipendi kabisa wanaume ,niliwahi mwambia mr kuwa natamani mwanangu asije olewa kwani naona atanyanyasika kwa ndoa ,kwa ujumla sijawahi ona raha ya ndoa nimejitahidi sana kwa maombi ,nimlete mr karibu but nature yake hawezi badilika
 
Tatizo mkipata mume bora mnnasema hana future, kwahiyo hamjui ni nini mnataka.
 
Nimejifunza kuwa tatizo liko kwako.
Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mwenye hekima na busara.
Utakuwa una gubu sana
 
Utakuwa unakaribia menopause.....so unaingia kwenye hatuna ya kuwa Bibi hayo masuala huwa sio deal Tena,,,thus why kina Bibi wengi wanaanzaga kulala na wajukuu na kumuacha babu peke yake
Kwahiyo utakubaliana nami kwa mwanaume kamili kabisa mke mmoja hatoshi?

Maana kwa mwanaume huo umri ambao ndio mwanamke anaingia menopause wanaume ndio mzuka wa nyege unaongezeka yani hats ukiweza kutowa show daily mwanaume ndio starehe yake hapo, sasa mtu ukiguswa niache nimechoka.

Swala la michepuko ni gumu kuisha kwakweli.
 
Huo ndio Ukweli mchungu watu tusiotaka kuusikia..
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Wewe ni malaya unato.mbesha nje.
 
Acha visingizio,,,upo mbuga gani?? Tuwasiliane na tuongee kwa ukaribu zaidi.
 
Kwa ambao hayajawafika mwaweza comment vibaya ,hii hali wanawake wengi sana inawapata,hata mimi lakini nimejifanyia tathmin ,mume wangu yupo very rude ,yaani ni mtu wa kufoka sana na mwepesi wa hasira hivyo kipigo hata kwa kosa dogo atakupiga ,kwa familia ni baba bora sana ,ila kwa mke kafail unanitahidi kumtimizia na kumtii kama mke but una kuta ndiyo nature yake mpka mwenyewe anakili kuwa hata kazini wanamsema ni mkali sana anawezaje kuishi na mkewe ? Sasa come back wanawake akikutana na mwanume wa aina hii anaishi kwa kuvumilia ila upendo unaisha kwa mumewe,kwani mwanamume hana habari na mke,mimi hii hali naongea coz naiptia tangu nimeolewa sijawahi ambiwa neno nakupenda ,nimekumiss but huwa nakuta text za michepuko so huwa tunagombana sana na mr ,nikamwambia kuwa kumbe una uwezo wa kuaambia wengine nimekumiss ,mimi nikumbia au kutext unajibu ahsante but hujawahi niambia hata siku 1 ,hii hali haziwezi kupoteza hisia na mwezni wako tusijudge tu negative lazima vyanzo vipo ,but mimi totally imepelkea mpaka sipendi kabisa wanaume ,niliwahi mwambia mr kuwa natamani mwanangu asije olewa kwani naona atanyanyasika kwa ndoa ,kwa ujumla sijawahi ona raha ya ndoa nimejitahidi sana kwa maombi ,nimlete mr karibu but nature yake hawezi badilika
Dah pole sana, una miaka mingapi kwenye ndoa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom