Kupoteza Hamu ya Ngono kwa Mume Wangu: Je, Mimi Nipo Peke Yangu?

Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Ngoja waanze kuku riki boy ndio utajua hujui
 
WEWE ndani ya moyo wako ni Malaya tu unaetafuta uhalali wa kufanya umalaya wako...go ahead na hyo program Yako ya uchepukaji then usisahau kuja kutupa mrejesho..

subiri wachepukaj wenzako mostly single Maza waje kukuhalalishia uchafu unaotaka Kuanza..kiufup unataka kusikia go ahead..😂😂😂
Ni lile kabila, hivyo ndio zao...😁😁😁😁
 
Kwa ambao hayajawafika mwaweza comment vibaya ,hii hali wanawake wengi sana inawapata,hata mimi lakini nimejifanyia tathmin ,mume wangu yupo very rude ,yaani ni mtu wa kufoka sana na mwepesi wa hasira hivyo kipigo hata kwa kosa dogo atakupiga ,kwa familia ni baba bora sana ,ila kwa mke kafail unanitahidi kumtimizia na kumtii kama mke but una kuta ndiyo nature yake mpka mwenyewe anakili kuwa hata kazini wanamsema ni mkali sana anawezaje kuishi na mkewe ? Sasa come back wanawake akikutana na mwanume wa aina hii anaishi kwa kuvumilia ila upendo unaisha kwa mumewe,kwani mwanamume hana habari na mke,mimi hii hali naongea coz naiptia tangu nimeolewa sijawahi ambiwa neno nakupenda ,nimekumiss but huwa nakuta text za michepuko so huwa tunagombana sana na mr ,nikamwambia kuwa kumbe una uwezo wa kuaambia wengine nimekumiss ,mimi nikumbia au kutext unajibu ahsante but hujawahi niambia hata siku 1 ,hii hali haziwezi kupoteza hisia na mwezni wako tusijudge tu negative lazima vyanzo vipo ,but mimi totally imepelkea mpaka sipendi kabisa wanaume ,niliwahi mwambia mr kuwa natamani mwanangu asije olewa kwani naona atanyanyasika kwa ndoa ,kwa ujumla sijawahi ona raha ya ndoa nimejitahidi sana kwa maombi ,nimlete mr karibu but nature yake hawezi badilika
Sasa hili lako ndio tatizo, pole sana. Na hujawahi kuchepuka hiyo 12yrs ya ndoa?
 
1. Una jini mahaba wewe. Funga na kuomba.
2. Kama sio jini mahaba utakuwa na tatizo la kurogwa.
 
Sema most likely mumeo anachepuka ila hujajua namna ya kumstukia!

Hata hivyo usimtafute kujua.

Na ukute huo mchepuko ndio umekuroga usi m-feel mumeo

Sasa hapo ikitokea ukajua anachepuka ndipo utapata uhalali wa kuchepuka
Comment ya hovyo sijapata kuona.
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Umekosa ubunifu mara nyingi wanawake ndio shida mnasababisha
 
Pole mdogo wangu. Kwanza hongera kwa kutochepuka mpaka leo. Wewe ni mshindi na umefanya vizuri kuomba ushauri, hiyo hali ipo au huwa inatokea kwa wanandoa wengi iwe ni me hata ke hali hiyo hutokea. Asilimia kubwa hali hiyo imechagizwa na maisha tunayoishi siku hizi. Kuna mashambulizi yanafanywa maksudi ili kuleta mabadiriko fulani mabaya katika miili yetu. Nayo hufanywa ktk vyakula, vinywaji, matibabu na ktk mambo ya kiroho. Ukweli hata ukichepuka huyo mchepuko baada ya muda utakuwa huna hisia naye. Kwa hiyo kitakachofanyika utakuwa mtu wa kubadili michepuko mwisho wa siku utahamia ktk tamaa za mapenzi ya jinsia moja au mapenzi kinyume na asili. Ushauri wangu hilo ni tatizo na mrekebishaji wa tatizo hilo ni aliyekuumba na aliyeiumba ndoa yenu. Tafuta usaidizi wa kiroho. Endelea kuwa na msimamo usichepuke, kinyume chake utakuja kujuta.
Naunga mkono hoja 100%
Inawatokea sana wana ndoa wengi hii hali nadhani ni ishu ya kisaikolojia zaidi, hasa baada ya kuzaa watoto na pia huwa sometimes hutokea pindi wanawake wanapokuwa wanakaribia ukomo wa hedhi nk.

Way back bosi wa benki fulani kubwa nchini tulizoeana kiasi kwa heshima sana sasa ni mstaafu, siku moja aliomba tukutane hotel fulani posta karibu na benki pacha ya Stanbic kwa ajili ya kinywaji cha jioni na maongezi kidogo nilihisi labda anataka kunipa dili la pesa lingine kwani alishawahi nipa dili kabla lililonifanya nikanunua kiwanja hivyo niupa uzito wito wake "tulipokutana baada ya kumaliza kuongelea madili akaanza kuomba ushauri afanyeje...alinielezea anapitia hali kama ya huyo mwana jf amepoteza hisia kwa baba watoto wake kwa miaka 8 ameenda kanisani amefunga sana lakini hisia kwa mumewe hazipo wakati huo mumewe kaniacha mbali sana kimaisha,kielimu na kipesa, nilijitahidi kumshauri kwa miezi sita kwamba ni hali ya mpito na kibaolojia tu atakaa sawa, watu wazima wengi uipitia hiyo hali na blah blah kibao lakini bado hakuelewa finally nikaamua niwe namkata kiu...najutia ule wakati.

#Mtoa mada ikitokea akawa karibu kishkaji na mwanaume yeyote basi jua lolote linaweza kutokea kwasababu ananing'inia kwenye uzi anytime ataangukia anapopataka na naamini hawezi vunja ndoa yake bali ataendelea itunza..kwani ni hali ya mpito tu.
 
Hili tumelichukua napendekeza mtoa mada atume kapicha tuone kama kweli biashara ni nzuri kama alivojinasubisha
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Mada zenye maudhui kama haya zimekuwa nyingi mno. Ni baada ya members wengi kugundua kuwa wakijivika ''uanauke'' na kuleta mada za sex na uhusiano hapa, zinapata michango mingi. Maelezo yako uliyotoa ndiyo kitanzi chako. Umejieleza mno kiasi cha watu makini kugundua kuwa huu ni utunzi wa furahisha baraza, na pengine ni dume limeanzisha hii thread.
 
sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka.​
WANAUME ku KATAA NDOA hatujakurupuka! ona sasa.
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Kwanza Pole..... nimejiskia tu nikushauri ....jaribu kutafta mazingira tofauti kama vile outing na mumeo hasa maeneo ya baridi kuna ka mzuka flani itakuja yenyewe tu ...halafu ukihitaji ntakupa fomla ya chakula cha kuboost mambo ......
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Dear njoja nikupe hii iliyompata rafiki yangu dear.

Hio hali ni kawaida kwa wanandoa.
Rafiki yangu ilimpata hio hali ila yeye aliamua kuchepuka.
Baada ya kuchepuka alipata kitomb* kitamu alivyoniambia ikafika mpaka wakati akikutana na mume wake hanajiona kama mume wake ni mtoto tuu si kitu.
Halikuja kujuata maana alifika stage ya kumzalau mume wake kwenye ndoa , alisema alikuwa anajizuia ila kuna kipindi alianza mpaka kuchelewa home mpaka mume kumshitukia, aliniambia alichukua muda sana kurudi kwenye hali ya kawaida.

My intake ni kwamba ukianza kuchepuka kwa sababu huna hisia na mwenzio ukaenda nje madhara yake ni makubwa kwenye ndoa maana utamu utaupata kule inathiri sana kwenye ndoa yenu.

Cha msingi mwambie baby wako mama usione haibu. Na kingine badilisheni hata style ya tendo.
Hata muonekano wa chumba, pia mavazi na hata perfume tumia nyingine na badilisheni hata maeneo ya kufanyia sexy,
Huo ndo ushauri wangu my kuchepuka usijalibu dear kwa sasabu huna isia na mume labda angekuwa mbali labda. Au umepata buzi la kulichuna pesa sawa ila sio huna isia na mume , madhara yeke ni kupoteza 100% hisia na mume, kurecover itakuchukua muda sana dear.
 
Nimekaa hapa nikaona wacha nipige story na washirika wa jamii forum, hasa muda huu ambao wengi tupo maofisini na katika biashahara, ila mimi nipo napunga upepo katika mbunga moja nzuri hapa Tanzania.

Twende kwenye Hoja

Mimi ni mama wa watoto 3 na mke wa mtu, nipo ndani ya ndoa zaidi ya miaka 14, na mimi ni mwajiriwa katika NGO na nina cheo kikubwa na mwonekano wangu hauendani na miaka niliyonayo, ni kama kijana.

Kisa nachotaka kupiga story na nyie itapendeza nipate maoni ya wanawake na wanaume muwe watazamaji, hivi ni kweli wanawake wenzangu kuna wakati hamna hamu na waume zenu nikimanisha katika sita kwa sita kuna wakati unamwona mume wako kama kama kaka ako ata haushutuki.

Ndio hali ninayopitia mimi, toka kuanzia miaka 6 kama sikosei nilianza kumwona mume wangu kama kaka angu, ni kawa sina hamu nae, na asipo nianza wala ata sitakaa nimuanze, nikawa sina mzuka nae nitafanya nae tendo ila ni ile hali ya fanya maliza ondoka, na ni baba bora na anayetimiza majukumu yake kama mume.

Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.

Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.​
Hiyo ni jeuri ya pesa.....vina mudaaa basii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom