Nimekwambia mimi Sina uhusiano na sayansi ila nina mahusiano na maarifa ya wanadamu tu yalioileta intaneti ninayotumiaHujajibu swali.
Usitake kupiga chenga swali.
Inakuwaje huna uhusiano wowote na sayansi wakati unatumia internet ambayo ni teknolojia inayotumia sayansi?
Haha..hatari maana wataalamu wetu wao hawahitaji kufanya utafiti wala nini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] The unknown wataalamu washasema hakuna majani ni msongo wa mawazo unaopelekea mnyumbulisho wa akili[emoji23] [emoji23] shauri yake
Hahaaa hapana bana hizi mambo Kama umetokea mabonde kwinama huwezi kuzihusisha na maisha ya leo unayoyaishi mana inatokea tu bila kujijua hasa ukiwa katika mazingira ya watu wema(vijijini)Ugumu wa maisha naona watu wanauhamishia kwenye majani!..
Sawa bana hizi hesabu tunazopiga huku tunatembea naona zimerahisishiwa poteza boya!..
Kwahyo ukiukanyaga na viatu haupotei!?. Sababu huo mmea mwingine ni mpaka uuchome moshi wake uwe kama umevuta bange.Hahaaa hapana bana hizi mambo Kama umetokea mabonde kwinama huwezi kuzihusisha na maisha ya leo unayoyaishi mana inatokea tu bila kujijua hasa ukiwa katika mazingira ya watu wema(vijijini)
Ila sema vitabu vinataka ama vimefanikiwa kutuondolea baadhi ya vitu muhimu ambavyo kama tukivifanyia uchunguzi tunaeza kupata sababu nyingi sana
Ni kama ule mmea ambao ukikaushwa vizuri ukasagwa vizuri basi ukiuchoma tu ule moshi ukikupata unalala usingizi wa koma.
So kuna vitu vipo vya ajabu sana sema ustarabu wa maandiko umezidi ustarabu wa asili
Tafuta thread moja hivi ya Mshana nadhani nae aliwahi kuelezea huo mmea ambao baadhi huupanda kama ua majumbani....Kwahyo ukiukanyaga na viatu haupotei!?. Sababu huo mmea mwingine ni mpaka uuchome moshi wake uwe kama umevuta bange.
mwenyewe kanda ya ziwa nyumbani mkuu!.. Me naamini hizo ni imani tuTafuta thread moja hivi ya Mshana nadhani nae aliwahi kuelezea huo mmea ambao baadhi huupanda kama ua majumbani....
Sina hakika sana Kama ukiukanyaga na viatu utapotea mana huko nakwetu wengi ni magulu kuyega viatu ni hadi siku ya sikukuu tena zile ndala za mkapa na anaejitahidi kuvaa kiatu ni bondo au wenyewe tunaita saa sita utanikoma.Yani kile kiatu jua likiwaka kinapata joto hatar so unaamua ukivue tu (wakazi wa kanda ya ziwa wanaojua hicho)so kuhusu kuvaa viatu nisiwe muongo kwa kweli
hapana mkuu ugumu wa maisha upo tuUgumu wa maisha naona watu wanauhamishia kwenye majani!..
Sawa bana hizi hesabu tunazopiga huku tunatembea naona zimerahisishiwa poteza boya!..
Nimekupa mfano wa kanda ya ziwa ili uelewe kiatu nilichokizungumziamwenyewe kanda ya ziwa nyumbani mkuu!.. Me naamini hizo ni imani tu
Ndiyo hapo sasa..yani mtu unampa ushuhuda wa jambo yeye haamini ila anaona bora akawaamini hao jamaa zao.kutwa Mr Newton alisema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa umenena mkuu sema watu wanajikuta wajuvi sana kiasi kwamba wanasahau asili yetu ni ufugaji na uwindajiNdiyo hapo sasa..yani mtu unampa ushuhuda wa jambo yeye haamini ila anaona bora akawaamini hao jamaa zao.
Sasa hapa toka mwanzo hivyo visa vimewatokea watu vijijini tena mazingira yenyewe yanafanana,ila wataalamu wanaona ni ukichaa tu.
Sasa najiuliza huo ukichaa mbona hauwapati na watu wa mjini huku??
Hahaha..ila ndio hivyo hauwezi kumbishia mtaalamu.
Mkuu jambo kuwa imani sio tatizo na ndiyo maana hadi leo waganga bado wapo,unafikiri matatizo mengine yanayowapata watu huenda kuyatibu wapi kama sio huko kwenye ushirikiana na ndio kwa waganga?mwenyewe kanda ya ziwa nyumbani mkuu!.. Me naamini hizo ni imani tu
Mkuu, nashawishika kukuuliza ulikulia Tanzania?! Na kama jibu ni ndiyo mikoa gani? Kwa sababu kwa baadhi ya mambo ni vigumu sana kumuaminisha mtu jambo ambalo tangu mazingira na nyakati za tukio havieleweki wala kufikirika kwake.Hizi ni zile hadithi za utotoni eti wamasai wakiaba ng'ombe wanageuza viatu vyao ili kuwa hadaa wanao fuatili muelekea wa nyayo zao. Sijui makanyagio ya hao ng'ombe walio ibiwa wali ya geuza je?