Kwanza elezea unawezaje kutokuwa na uhusianona jambo la sayansi wakati unatumia internet ambayo ni teknolojia iliyotokana na sayansi?Kwani SAYANSI ni nini?!
Najua nilichokiandika ndugu wala usidhani sijui niandikacho.
Nina uhusiano na maarifa ya wanadamu ila Sina uhusiano na Sayansi mana siijui
Sawa kwani aliefafanua mana ya hiyo SAYANSI ni nani?!Kwanza elezea unawezaje kutokuwa na uhusianona jambo la sayansi wakati unatumia internet ambayo ni teknolojia iliyotokana na sayansi?
the definition of science
science
[sahy-uh ns]
See more synonyms on Thesaurus.com
noun
- a branch of knowledge or study dealing with a body of facts or truths systematically arranged andshowing the operation of general laws:the mathematical sciences.
- systematic knowledge of the physical or material world gained through observation and experimentation.
- any of the branches of natural or physical science.
Origin of science
- systematized knowledge in general.
- knowledge, as of facts or principles; knowledge gained by systematic study.
- a particular branch of knowledge.
- skill, especially reflecting a precise application of facts or principles; proficiency.
1300–50; Middle English < Middle French < Latin scientia knowledge, equivalent to scient- (stem of sciēns), present participle of scīre to know + -ia -ia
Related formsan·ti·sci·ence, adjective, nounin·ter·sci·ence, adjectivenon·sci·ence, nounpro·sci·ence, adjectivesub·sci·ence, noun
Can be confusedscience séance
Synonyms
See more synonyms on Thesaurus.com
7. art, technique, method, discipline.
Hujajibu swali langu lakini.Sawa kwani aliefafanua mana ya hiyo SAYANSI ni nani?!
Kama ni mwanadamu,tena aliandika bada ya kujua kusoma,basi yaezekana aliamua kurahisisha tu ili apate wafuasi kama wewe na wengineo!
Haya yote ni maarifa to na si SAYANSI ambayo mimi naamini ndio sayansi.
Hizi intanet ni matokeo ya mawazo chanya tu ya watu katika mazingira yao
Nimekujibu chief.Hujajibu swali langu lakini.
Angalia usije ukaambiwa una mtatizo ya akili,maana wataalamu wetu humu washaelezea kuwa hilo suala sababu ni matatizo ya akili na si kukanyaga jani wala mdudu.Kesho nikitoka kazini na mpango wa kutorudi nyumbani mke wangu akiniuliza nitamwambia nilikanyaga ayo majani nikapotea. huu uzi utanisaidia sana
Hujajibu imekuwaje unatumia internet ambayo ni teknolojia inayotokana na sayansi wakati huna mahusiano yoyote na sayansi?Nimekujibu chief.
Japo unaeza kuona kama nakuchosha hivi ila ni kuwa mimi siamini Sayansi,ambayo ukiifuatilia ina mambo mengi yenye kukinzana na ndio maana nakwambia mimi nina mahusiano na maarifa ya wanadamu ila sio sayansi.
Itakuwaje intanet iwe sayansi,kisha mzunguko wa jua(mfano)na wenyewe uwe sayansi?!
Upandaji mbegu uwe sayansi na utengenezaji wa ndege ama meli uwe Sayansi?!
Nadhani umenielewa na ndio mana nimekuuliza SAYANSI ni nini?!
Huko simo[emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2]Yalikuwa masi
Hata kwa sasa ukimgusa Jiwe tu utapotea hivyo hivyo, so inawezekana hayo utokea
Ukirejea ulichoquote toka hapo juu utaona kwanini nimesema sina mahusiano na sayansi na sidhani kama hujaelewaHujajibu imekuwaje unatumia internet ambayo ni teknolojia inayotokana na sayansi wakati huna mahusiano yoyote na sayansi?
Aau unataka kusema internet inaendeshwa kwa uchawi na si teknolojia za kisayansi?
Hujajibu swali.Ukirejea ulichoquote toka hapo juu utaona kwanini nimesema sina mahusiano na sayansi na sidhani kama hujaelewa
Au tuseme unakimbia swali langu tu ya kuwa sayansi ni nini?!
Ulileta majibu mengi ambayo nikasema sawa kama ndivyo itakuwaje nipande mbegu iwe ni sayansi kisha mtengeneze simu mseme ni sayansi?!
Itakuwaje jua lichomoze na kuzama mseme ni sayansi,kisha mrushe ndege angani nayo mseme ni sayansi?!
.sasa sayansi ni nini?!
Nijibu Sayansi ni nini sio unarudiarudia kuniuliza kitu ninachokufafanulia
yaan ana maanisha mama yko mwanga,,kwa nilivyomuelewa mmNajitahidi lakini sijakuelewa mkuu
Habari wapenzi.
Nmekua katika mazingira ya kusikia baadhi ya ngano kuwa kuna majani ukiyakanyaga unapotea ,yani unaelekea mahala usipo pajua unazunguka sana ..kiasi unaweza kupatikana au usipatikane kwa muda .
Mama angu ananisimuliaga wao walipoteaga na bibi yake kipindi anakua kwa siku mbili msituni.
Je wakuu haya mambo ni kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] The unknown wataalamu washasema hakuna majani ni msongo wa mawazo unaopelekea mnyumbulisho wa akili[emoji23] [emoji23] shauri yakeAngalia usije ukaambiwa una mtatizo ya akili,maana wataalamu wetu humu washaelezea kuwa hilo suala sababu ni matatizo ya akili na si kukanyaga jani wala mdudu.