Wewe ndo unatakiwa ukapimwe akiliKunradhi, nia ya akili hii isiyo sawa ilikuwa kumtakia mema mzazi wako na kama kuna namna ya kumuagua mapema kabla pengine matatizo makubwa zaidi hayajamfika, itafutwe.
Lakini naona tunatoka dunia mbili tofauti.
Akili yangu haiko sawa katika dunia yako mkuu.
Kila la heri kwako wewe na familia yako.
Kwa heshima na taadhima.
Sawa ndugu yangu, nitapimwa akili, na nishakuomba radhi, nisamehe kwa makosa yangu.Wewe ndo unatakiwa ukapimwe akili
Nakuuliza tena mkuuKugundua maana yake nini kama ulivyotumia neno hilo hapa?
Labda ndio huoKama ni ule mto Mhesi km kadhaa ukitoka tunduru basi nami naufahamu japo si mwenyeji wa huko
Mto huo wenyeji wanasema unatabia ya kuua mtu kila mwaka na kweli mmoja kati ya watu tuliokuwa kule tulikuwa tunautumia kuoga mana maji yalikuwa ni shida(ilikuwa kiangazi)mwenzetu mmoja akachotwa kiajabu na tukaja kumpata baada ya siku tatu,ikabidi na utafiti wetu tusitishe kabisa
Mwaka huu wameenda wengine tena
sasa hapo kiranga yeye anachobisha ni kipi"?wakati "usikute hajawahi kukaa. ileje ",chunya" kyela" mvuha ", kwa muda hata wa week 1Unadhani wewe ndie mwenye kufikiri na kuwaza zaidi ya wanajamii wengi kutoka maeneo tofauti ya nchi hii?!
Ama wewe ndo mnadadavuaji kwa mifano ya vitabu na nadharia za kusadikika kutoka kwa maandiko ya watu kama wewe?!
Wale waliokulia katikati ya milio ya bundi na ndege kwijo ndio wanaeza kukupa mifano ya matukio ya aina hiyo mana njia nyingi zitumikazo huko vijijini ni nyembamba na si ajabu kukuta majani yamejiotea.
Kama umewahi kujikunguta umande ahsubuhi ama wakati wa mvua kuisha huwezi kosa majani aina ya (Kisokoro)yakiwa yametanda njiani kwa kusambaa chini.
Kuna mengi yapo huko vijijini kuliko ngano chache zilizofika mjini
Nachelea kusema utaona uzushi ikiwa tu hata mbuzi hujawahi kwenda mfunga kwenye majani,namaanisha kama hujawahi kuishi maisha yale ya ndani ya zi le jamii ambazo Radio tu ipo kwa mwenyekiti,sio hivi vijiji vilivyojaa taa za umeme.
zitto junior ,hearly, Da'Vinci
Basi uliipaki baiskeli kwenye mzizi wa hayo majani...Mi nilishawahi kupoteza baiskeli porini sikuiona kwa miaka minne mwaka wa tano nilikuja kuiona palepale haikuguswa wala kusogezwa mpk Leo siamini niliota au lakini ndio ukweli
aisee poleni sana wakuuKama ni ule mto Mhesi km kadhaa ukitoka tunduru basi nami naufahamu japo si mwenyeji wa huko
Mto huo wenyeji wanasema unatabia ya kuua mtu kila mwaka na kweli mmoja kati ya watu tuliokuwa kule tulikuwa tunautumia kuoga mana maji yalikuwa ni shida(ilikuwa kiangazi)mwenzetu mmoja akachotwa kiajabu na tukaja kumpata baada ya siku tatu,ikabidi na utafiti wetu tusitishe kabisa
Mwaka huu wameenda wengine tena
Mbona unarudia swali wakati mimi nimekujibu kwa kukuuliza kugundua maana yake ni ninikatika muktadha unaouongelea wewe hapa?Nakuuliza tena mkuu
Tangu umeenda shuleni kwenu ukajifunza sayansi ,law of flotation etc
umegundua nini na wewe mpaka leo hii?[emoji23] [emoji23] [emoji23] umegundua law of What?
Namimi mwenyew nilikuwaga najua hivyo hivyo kwamba nimdudu ", nilikuwaga nazisikia hayo masimulizi zamani " nilipokuwa mdogoHili suala la kupotea unapopafahamu sio jipya baba yangu limemtokea mwaka juzi alipokua anarudi nyumbani saa 2 usiku alijikuta haelewi anakokwenda aliishia kuzunguka mtaa tangu saa 2 usiku hadi saa 4 usiku bahati nzuri kuna jirani alipishana naye mara 3 hiyo ya mwisho alishindwa alimuuliza anatafuta nini alimjibu anaenda nyumbani akamuambia mbona nyumbani kwako pale na fahamu zikamrejea ila kikwetu wanasema ni mdudu sio majani ingawa haswa matatizo haya yanatokea kipindi cha masika
hahaaa wasalimie ilejeBasi bwana tulienda na demu Wangu porini kunyengana si tukalalia hayo majani tukasahau kuacha tukawa tunanyengana tu.. Mkitembea kidogo myengo kidogo myengo mpaka nguvu zikaisha tukalala porini
hahaaa kiranga" bwana " UmeanzaBaba yako ana umri gani?
Mara ya mwisho kufanyiwa check up iliyojumuisha tests za cognitive ability ni lini na zilitoa matokeo gani (kama alifanya).
Hapana, wewe unaona nilipoanza, kumbe nishamaliza mwenzako.hahaaa kiranga" bwana " Umeanza
aisee " serious mkuu "?Mi nilishawahi kupoteza baiskeli porini sikuiona kwa miaka minne mwaka wa tano nilikuja kuiona palepale haikuguswa wala kusogezwa mpk Leo siamini niliota au lakini ndio ukweli
sawa " nimeonA " Wakati natoa ile statement sikuwa nimefikia hizi pages za mwisho "" though kuna watu wengine huwa hawaelewi maana ya challenge so msamehe bureHapana, wewe unaona nilipoanza, kumbe nishamaliza mwenzako.
Na msamaha nimeomba tayari.
Habari za Baba yake mtu si ndogo kwa maadili ya Adili wa Shaaban Robert niliyoamua kuyaamkua leo.
Mkuu umegundua nini?Mbona unarudia swali wakati mimi nimekujibu kwa kukuuliza kugundua maana yake ni ninikatika muktadha unaouongelea wewe hapa?
Kabla ya kujibu nimegundua nini -majibu yako mengi sana kuanzia sijagundua kitu na nimegundua maelfu ya vitu- ni vyema wewe ukanieleza maana ya "kugundua" kama unavyokusema hapa ni nini?
Inawezekana kwenu rangi ambayo mimi naiita bluu mnaiita nyekundu na rangi ninayoiita nyekundu kwenu mnaiita bluu.
Ukinionesha shati la rangi nyekundu, halafu ukaniuliza hili shati ni la rangi gani, natakiwa kukujibu vipi?
Hapana kaka, usiniharibie.sawa " nimeonA " Wakati natoa ile statement sikuwa nimefikia hizi pages za mwisho "" though kuna watu wengine huwa hawaelewi maana ya challenge so msamehe bure
Kugundua ni nini? Siwezi kukujibu nimegundua nini kama hujaniambia kugundua ni nini.Mkuu umegundua nini?
Tulienda kwenye mapori Fulani mwaka 1998 kule morogoro kugawana mashamba tulime Mimi nilikuwa na baiskeli sasa sikutaka kutembea nayo porini itanichosha tukaipaki mahali amin usiamini baada ya zoezi LA kugawa mipaka kuisha tukaanza kuenda kuichukua ile bike hatukuiona na unajua porini vichaka vinafanana tuliitafuta ile bike bila mafanikio kesho yake tukarudi wapi nika declare imeibiwamkuu em kaa chini tueleze ,maana ni zaidi ya maajabu
Sio fiction ni tukio LA kweli kabisa na Yale maji tuliyakuta vile vile kwenye dumu ndio kilichonithibitishia ni baiskeli yangu niliyoipoteza mwaka 1997aisee " serious mkuu "?