Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,445
- 5,218
Watu wanaogopa wachawi!Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is real
Watu wanaogopa wachawi!Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is real
Nilishapiga marufuku hiki kitu, nikamwambia kama huwezi kuacha basi jipost wewe tu, usinipost mimi wala watoto wala mambo binafsi ya familia. Halafu nikampiga muteAcha makasiriko, tafuta mtu wa kukupost
Wewe ni kama mimi tu!Nilishapiga marufuku hiki kitu, nikamwambia kama huwezi kuacha basi jipost wewe tu, usinipost mimi wala watoto wala mambo binafsi ya familia. Halafu nikampiga mute
Hiyo kitu sijawahi hata kuielewa kabisaView attachment 3698954
Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.
Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?
Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa
Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?
Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is real
diktetaNani alileta huu ushamba?
Ndio maana nikasema haina tofauti na kuweka matangazo kwenye miti na kuta za mitaani. Nilimuuliza hili office mate wangu why unampost mke wako status? Huwa malengo yako ni yapi? Akashindwa kujibuHiyo kitu sijawahi hata kuielewa kabisa
Muona kama anamiliki pisi kali.Ndio maana nikasema haina tofauti na kuweka matangazo kwenye miti na kuta za mitaani. Nilimuuliza hili office mate wangu why unampost mke wako status? Huwa malengo yako ni yapi? Akashindwa kujibu
Maana yake ni kumnadi, Tukimtongoza huyo mwanamke atatulaumu?Muona kama anamiliki pisi kali.
Wanaita aibu kwa kweli , haswa wakiwa na Mwanaume mbavu ana hela na Hensamu kama Mimi wanaonasifa kupost kuwalingishia wenzao 😂Hasa wanawake ndio malimbukeni wa hiki
Ya kuziba sura ndio Inakera zaidi 😂Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is real
Wakiibiwa wanawalaumu wanawake.Maana yake ni kumnadi, Tukimtongoza huyo mwanamke atatulaumu?