Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,668
- 171,815
Tafuta hela Kipenzi Changu 😁
Aliyeleta ndio aliyeleta Forum unayoandika hapa.View attachment 3698954
Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.
Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?
Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa
Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?
Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Bhanaaa weee 🤣🤣🤣Unakuta mtu kampost mpenzi wake au mtoto halafu kamziba sura. Huyu mzima kweli?! Tatizo la afya ya akili is real
Tena kama wewe status zako Mama Kizimkazi, Pole mama na msiba, sasa nani hajui kama kafiwa. Acha ushambaMleta uzi una ujima mwingi sana kichwani mwako.
Hela sina ila napostika, sema sioni lengo la maana la kufanyiwa hivyoTafuta hela Kipenzi Changu 😁
Ushamba ni kutaka watu wote wawe na mtazamo kama wako.
Ila ni kweli mi pia naonaga ushamba, ila wenyewe wanasemaga twaona wivu......Hela sina ila napostika, sema sioni lengo la maana la kufanyiwa hivyo
Ongezea na hawa wa jogging mkuu wanakera sana 😄 hasa wenye smart watch kutuwekea na maramani 😄😄Ila ni kweli mi pia naonaga ushamba, ila wenyewe wanasemaga twaona wivu......
Mtua anapost kaamka, anakula breakfast, lunch, dinner yuko na mpenzi wake, anapost yupo kanisani, anapost usiku yupo kwenye maombi kwakifupi anapost kila kitu ni ushamba
Anyway hawavunji sheria acha waishi wapendavyo......Ongezea na hawa wa jogging mkuu wanakera sana 😄 hasa wenye smart watch kutuwekea na maramani 😄😄
Tena kesho zamu yako kukupost.Hela sina ila napostika, sema sioni lengo la maana la kufanyiwa hivyo