Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

Naunga mkono hoja

Japo in the end kila mtu afanye vile anajiona yupo sawa, kuweka status ni jambo huru na iliwekwa hiyo ili itumike kwa wanaohitaji
Huyo kapigwa tukio tu.
Sasa anageuza nongwa kuwa ushauri
 
Wewe nawe umekuwa nani mpaka upangie watu maisha?

Acha watu wapendane na ulimwengu ujue. Maisha ya mafichoni ndo ya ******* kuliko ya uwazi.

Kubali unakomwe na huwezi kupostika.

Watu wanapenda sana tuishi kama tuko vitani na maisha ni simple tu
 
Kila siku nipo kwenye migogoro ya kwanini hunipost wakati anaona kabisa tangu amekutana na mimi sijawahi kuwa hata na ile dalili ya kuelekea kupost chochote! Hao masimp ndo wanasababisha tunaonekana hatupendi.

Halafu kuna na wale wanaomuomba au kumshukuru Mungu kwenye status wakati Mungu hana WhatsApp! Ukisali faragha huko ukaongea na Muumba wako kimyakimya au kama mlokole ukapiga gombo na kunena kwa lugha huko chumbani au kanisani unapungukiwa nini hadi ukatumie WhatsApp kuwasiliana na mtu ambaye unafahamu kabisa hajawahi kumiliki hata kiswaswadu cha motorola?
NImecheka sana aisee sijui umewaza nn mkuu🤣🤣🤣
 
Kuweka status sio tatizo
Tatizo ni kiranga chako wewe kutenga muda na ku view

Acha watu wafanye kinachowapa furaha
 
Kila mtu anafanya anacho penda jamani kama anampost baby wake acha ampost maana ndo furaha yake.kuna wengine hata kuongozana na mkewe anasema ni ushamba lakini mwigine kwake ni furaha.Tuvumiliane tu km mtu hajavunja sheria au mila na desturi zetu tumwache afanye kinacho mpa furaha...japo ni ushamba.
 
Huu Uzi umejaa vijana wengi wenye roho za kichawi na kisolokwinyo,apost status mtu mwingine wewe ukereke🤭 kama hupendi unaangalia za nini kama sio unafiki na uchawi
 
View attachment 3698954

Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.

Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?

Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa

Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?

Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Binafsi naonaga ni mindset mbovu na ushamba mwingi. Watu wengi ni watumwa wa umati kiasi kwamba anataka kila kitu chake aweke tu status na wakati mwingine hana jambo la maana.

Mtu anawachukia watu kisa hawajampost birthday etc, kuna ndoa zinavunjika kisa mtu kagoma kumpost mwenzake 🤔

Watu wengi wanapambana kuonekana baadala ya kupambana kuwa.
 
Kila siku nipo kwenye migogoro ya kwanini hunipost wakati anaona kabisa tangu amekutana na mimi sijawahi kuwa hata na ile dalili ya kuelekea kupost chochote! Hao masimp ndo wanasababisha tunaonekana hatupendi.

Halafu kuna na wale wanaomuomba au kumshukuru Mungu kwenye status wakati Mungu hana WhatsApp! Ukisali faragha huko ukaongea na Muumba wako kimyakimya au kama mlokole ukapiga gombo na kunena kwa lugha huko chumbani au kanisani unapungukiwa nini hadi ukatumie WhatsApp kuwasiliana na mtu ambaye unafahamu kabisa hajawahi kumiliki hata kiswaswadu cha motorola?
🤣
 
View attachment 3698954

Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.

Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?

Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa

Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?

Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
Mtu kafa, unampost insta au status na kumweleza kuwa unamkumbuka utammiss... Sijui marehemu huyo unayemweleza atapita asome
 
View attachment 3698954

Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake.

Sasa huu ni ushamba mwingine wa kawaida kabisa. Nani alileta huu ushamba?

Huu ushamba unatuletea kero Mamasta kuonekana mbona haukomenti status zangu? Mbona hujapost happy birthday ya mtoto? Mbona hunipost? Pumbavu kabisa

Mwanaume mzima na akili zako unampost mkeo status, nini malengo yako? Unamnadi ama vipi? Cant you text her i love you, haitoshi?

Kwa hiyo, ili kuondoka na hii kero, nilichagua kumute whatsapp status zooote, kasoro wale tu wanaopost matangazo ya biashara au nasaha za Mungu.
uzi wa kijinga sana wa mwaka . eti wewe umejulia wapi status?
 
Ishi maisha yako, ya watu hayakuhusu
 
Back
Top Bottom