Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,704
- 3,036
Huu ni wivu tu. Maana watu hatufanani
Punguza Tabia Za KisichanaMimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Nyimbo zenu zachekesha.Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Ushamba mimi naona unao wewe ambae huthamini mali yetu wenyewe. Kanunua kwa jitihada zake binafsi acha afanye atakavyo. Mmeishiwa nyie.Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Ningeshauri kuwa hata kwenye matukio kama lile la kuzama kwa M.V. Nyerere uhudhuriaji uwepo pia, sio kwenye ndege tu.Mtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.
No research No right to speak ndugu yangu kenya mwaka jana walivyo lounch direct flight to new york ilikuwa ni gumzo nchi nzima bro, hata ivyo wakati walipokea B787 dreamliners zao bro ilikuwa the same same kama kinachotokea bongo hata rwandaie wakati wanapokea zile airbus yao kubwa ilikuwa ni shamra shamra japo PK hakuhudhuria yy kwa hiyo hivi vitu bro ni kawaida kwa nchi zetu za dunia ya tatuMimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Naona mnapokea ndege kutoka kwa mabeheruChadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Kuna dhambi gani kuifurahia kodi tunayolipa?.Upo sahihi, tunaonekana washamba sana, waziri alikuwa anatosha, Rais alipopokea dreamliner ilitosha kabisa. Sasa kila ndege tunapokea nama coverage kibao. Duh!!
Ushamba mimi naona unao wewe ambae huthamini mali yetu wenyewe. Kanunua kwa jitihada zake binafsi acha afanye atakavyo. Mmeishiwa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile walikodi ili kuwanyamazisha wanachama kuhusu sakata la ruzuku la mbowe..we zitafute leo kama utaziona..kwani zile ford ranger za oparesheni sangara ziko wapi?Chadema mwaka jana mmenunua vigari vinne wakati hamna ofisi ya chama...mbona hatuwasemi semi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti jitihada zake binafsi! Fedha cash zilizotumika kununua hizo ndege zimetoka hazina na ni fedha za walipa kodi. Hazijatoka mfukoni kwake.Ushamba mimi naona unao wewe ambae huthamini mali yetu wenyewe. Kanunua kwa jitihada zake binafsi acha afanye atakavyo. Mmeishiwa nyie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!
Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.
Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?
Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.
Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Mkuu shida ni umasikini-masikini hata akinunua baisikeli au TV mbona mtaa mzima mtajuaMimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!