Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Punguza Tabia Za Kisichana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Nyimbo zenu zachekesha.
Hazijibu hoja badala yake mipayuko ileile kila siku.
Ulimbukeni gani huu usiofika tamati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Ushamba mimi naona unao wewe ambae huthamini mali yetu wenyewe. Kanunua kwa jitihada zake binafsi acha afanye atakavyo. Mmeishiwa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtapata tabu sana, kwan kuna ubaya gani rais akienda kuipokea.
Mbona Mwenyekiti wa taifa na Cabinet yake walienda kuzika mbwa wa Nassari lakini Ukerewe hawakwenda?
Kupanga ni kuchagua kama unaona ni vibaya rais kupokea lala tu nyumban au fanya mambo yako.
Ningeshauri kuwa hata kwenye matukio kama lile la kuzama kwa M.V. Nyerere uhudhuriaji uwepo pia, sio kwenye ndege tu.
 
Ndo uwezo wetu ulipoishia hapo ndugu.Yaani hatuna kila kitu ndo maana mambo kama haya yanafanyika.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
No research No right to speak ndugu yangu kenya mwaka jana walivyo lounch direct flight to new york ilikuwa ni gumzo nchi nzima bro, hata ivyo wakati walipokea B787 dreamliners zao bro ilikuwa the same same kama kinachotokea bongo hata rwandaie wakati wanapokea zile airbus yao kubwa ilikuwa ni shamra shamra japo PK hakuhudhuria yy kwa hiyo hivi vitu bro ni kawaida kwa nchi zetu za dunia ya tatu
 
Chadema mmeshindwa kujenga hata kaofisi ka vyumba vitatu wivu tu unawasumbua mkuu wa nchi kushusha madege. Kamwambieni mkiti wenu sie tunaenda airport kupokea Mali za nchi, na mzee wa miga toka atoke nchini hatushitakiwi, ndo ujue mchawi nani.
Wasiopenda maendeleo waende kujifungia ufipa ila cha ajabu utawakuta wanakodoa kideoni kuisubiri na kumsikiliza amiri jeshi mkuu.
Na hakuna mtu anayemsikiliza sana mheshimiwa Raisi zaidi ya hawa mawakala wa mabeberu, najua wanamuelewa sana ila midomo yao tu mizito.
Naona mnapokea ndege kutoka kwa mabeheru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unakereka sana badilisha channel mkuu, hakuna wa kukuzuia kuangalia usichokipenda.

Mlikuwa mnasema shirika la ndege haliwezi kufufuliwa, leo kupokea hizo ndege ishakuwa ushamba?.
 
Unazuia watu kuonywesha 'Bunge Live' halafu kila leo tunaonyeshwa matukio kama haya tena live na TBC. Unaondoka ofisini tena muda wa kazi, unakwenda airport kupokea ndege! This country is a joke.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?

Jibu ni rahisi, huko baadae zikija treni za kisasa na kama nchi itaendelea kuwa chini ya utawala wa washamba, basi itafanyika hivi hivi.
 
Mimi sio mpinga maendeleo. Ninasapoti kwa asilimia zote maamuzi chanya yenye lengo la kukuza uchumi wa taifa hili changa. Ukiwemo uamuzi huu wa kufufua Shirika la Ndege kwa kununua ndege 7. Kongole Serikali!

Hata hivyo, kuna mambo yanatutia aibu. Mojawapo ni hili la mapokezi ya hizi ndege kufanywa kuwa ni tukio special sana la kitaifa. Kwa lugha ya mtaani tunasema ni 'kuchoreshana'.

Kwa dunia ya sasa, hata kama tulikuwa hatuna, sio fahari kuitangazia dunia kwamba tunasubiri ndege airport, tena tukiongozwa na Rais!? Sijaona Kenya wakifanya, Ethiopia, South Africa, Nigeria, Rwanda na kokote kunakotuzunguka. Mambo gani haya?

Halafu mbaya zaidi, siku zote hizi za mapokezi ni lazima RAIS ahudhurie kama mgeni rasmi. Ni kuonesha kwamba it is our top priority for now as a nation. Really? Waziri na watu wachache wangetosha sana kutuwakilisha. Na hakuna ulazima wa kufanya live coverage kwenye redio na televisheni.

Huko baadae zitakuja treni za kisasa, tutafanya hivi pia?
Mkuu shida ni umasikini-masikini hata akinunua baisikeli au TV mbona mtaa mzima mtajua
 
Back
Top Bottom