Kupima Reasoning ya Mwanamke

Sincerely my father is typical Thelonious... Grew up najua men and women tuko tofauti lakini haimaanishi mwanamke ni kilaza infact mwanamke unaweza kufanya mengi mnoo
Tofauti zetu ni za kijinsia....
Achana na tofauti ya kijinsia zipo tofauti nyingi mno
 
Very nice.
 
Kweli wanaume wengi wa siku hizi wamekuwa viazi sana.
In Eli79 's voice.

uliniambia ni viazi mbatata nilicheka sana jana. Yani unakuta mtu hana point ya maana kutetea hoja yake anabaki kukimbilia kunukuu bible wakati hata bible yenyewe haijui shida sana. shida ni kwamba wamekariri.
 
Kwani wewe hauna udhaifu wa aina yoyote yani kwa kifupi uko perfect mkuu?
 
uliniambia ni viazi mbatata nilicheka sana jana. Yani unakuta mtu hana point ya maana kutetea hoja yake anabaki kukimbilia kunukuu bible wakati hata bible yenyewe haijui shida sana. shida ni kwamba wamekariri.
Yaani acha tu!!
 
Basi mkuu ameshakuelewa huyo
 
yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Kama thinking capacity yako ndio poor namna hii, sidhani kama unaweza kupata mwanamke amabae anauwezo mkubwa kufikiri na kupambanua, utapata level yako na utaendelea kuamini hivyo hivyo
 
eti hata wawe na mabawa, we jamaa umenichekesha sana
 
Kwa hapa ulipofikia sikuungi mkono, kabisa upo wrong, wewe inawezekana unaabudu mwanamke. Huwezi kumdogosha Mungu kwa kiwango hiki, ww ni mpuuzi aisee, naskia ipo dini wanaabudu p***chi usijekuwa unatafuta wafuasi
 
Eti aliyewaumba hakusoma nyakati?

Yaani huyu Jamaa ni mpumbavu na limbukeni wa mwisho kabisa!

Hiyo kauli yake imenichefua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…