Hello wanajamvi naombeni kuuliza kupima hiv kunafanyika mara ngapi ili kuprove kabisa kuwa mtu ni mzima? Je kuna vipimo vya kuweza kupima mara moja tuu na kuprove kuwa mtu ni mzima? Naombeni mchango wenu maana nimeona watu wakipima mara moja tuu.
Ilinyo ni kwamba unapokuja kupima hospitali kwa mara nyingi huwa kuna vipimo viwili vukubwa tunatumia. CHA kwanza ni HIV 1/2 determine na cha pili ni UNIGOLD. Sasa basi Kwa Mtu yeyote anayekuja kupima kwanza inaanza kutumika determine ambapo kipimo hiki kikiwa negative then tunasema mtu hana maambukizi, lakini tunamshauri arudi baada ya miezi mitatu ili apimwe tena kuhakikisha kwani inawezekana Kabisa alikuwa kapata maambukizi wiki moja nyuma ambapo kwa kutumia determine huwezi kuona. Atakaporudi baada ya miezi mitatu akawa tena negative then tunaweza ku conclude kuwa mtu hana maambukizi japo atapewa counselling jinsi ya Kuishi na kujilinda asipate maambukizi. Lakini pia kuna kile kipimo cha pili ambapo kinatumika kufanya confirmation Kama mtu yuko positive baada ya kipimo cha kwanza kuwa positive. Natumaini nimejaribu kujibu swali lako
Sent from my iPad using JamiiForums

nadhani ni zaidi ya hizo 3!Mara 3
mimi nilipimwa vyote pamoja kwa mara ya kwanza na nilipewa ushauri kua kupima ni mara tatu nashukuru mungu nimeweza kupima mpaka mara ya tatu ambapo mara ya mwisho ni mwaka huu
ahahahaaa ,kapima ndio.