Nimetoka kupima HIV kwa ELISA inasema NR

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Hello

Mwezi ulopita nimetoka kupokea majibu ya kipimo cha HIV kwa njia ya ELISA! Aisee hatari

Kuna vipimo viwili vya HIV
  • Rapid test
  • DNA test

Rapid test ndio hivi wanavyopima kwene hospitali kawaida au mashirika ya kupima HIV
Ufanisi wake : kutambua maambukizi mapya miezi mitatu (ingawaje hata chin ya hapo)

DNA test hiki mara nyingi kipo sehemu chache sana na kinatumiwa tu kwa sababu maalum kama vile kuhakiki majibu tata, Damu salama na upon request
Ufanisi wake: Maambukizi ndani hata ya Siku tatu

KWANN ELISA?
Mwezi wa 6 ulikua ni mwezi wa kibabe kwangu maana nilipitia matatizo mengi sana!!

Kubwa kuliko kuna huyu mwanamuke wa siku nyingi tulikua tunachat mtandaoni akaniambia wamefunga chuo yuko free anataka nauli tu!!

Nikamtumia mara paaa kashafika kaja had nilipokua naishi…..

Usiku mtanange ukaanza lakini cha kwanza nilikumbuka ndom kama kawaida kipindi cha kwanza kikaisha.
Lakini ilikua atakaa kwa siku 2 hivo ndomu kila kipindi niligundua ni uongo nikaona hapa bora Nimpime nijue afya yake!

Aisee !! Kumwambia ishu ya kupima akaawa mkali mara nina phobia sijui nini sababu kibao!

Wasiwasi ukaniingia tukapiga kipndi cha pili na ndom pia,,,sasa ile hali ya mtu kuogopa kupima ilinitisha ikabidi nimfukuze.

Kumbuka hapo tushapiga oral za kutosha (sikupata ndom ya mdomo,fingering na nilihisi vidole vyaweza kua na michubuko ya kutosha,) duuh nikajipa moyo na ndom nilotumia

ITAENDELEA
 
KWANN ELISA?

emoji736.png
emoji736.png
emoji736.png
ITAENDELEA
Haya, tunasubiri, Tafadhari endelea, ili tuelimike na kuchukua Tahadhari zaidi.
 
Hello

Mwezi ulopita nimetoka kupokea majibu ya kipimo cha HIV kwa njia ya ELISA! Aisee hatari

Kuna vipimo viwili vya HIV
  • Rapid test
  • DNA test

Rapid test ndio hivi wanavyopima kwene hospitali kawaida au mashirika ya kupima HIV
Ufanisi wake : kutambua maambukizi mapya miezi mitatu (ingawaje hata chin ya hapo)

DNA test hiki mara nyingi kipo sehemu chache sana na kinatumiwa tu kwa sababu maalum kama vile kuhakiki majibu tata, Damu salama na upon request
Ufanisi wake: Maambukizi ndani hata ya Siku tatu

KWANN ELISA?

ITAENDELEA

Siyo kwamba DNA test kinatumika kupima watoto chini ya miaka 18 ?

Na ELISA ndo icho ambacho mara nyingi hakipatikani na ni gharama sana na huwa kinatumiaka kama ku confirm. ?

Ambapo kwenye Rapid test kuna vipimo viwili ambavyo ni SD bioline na Uni gold,Ambavyo kimoja wapo kwa sasa Tanzania halitumiki ambacho ni Uni gold.?

Au nimechanganya? Naomba nikumbushe maana kitambo sana.
 
Tanzania imeacha lini kutumia UNI GOLD??
Maana mtu akipima lazima uhakiki ufanyike kwa UNIGOLD !! Haina uwezo wa kumudu kila mtu kumuhakiki kwa PCR
 
Siyo kwamba DNA test kinatumika kupima watoto chini ya miaka 18 ?

Na ELISA ndo icho ambacho mara nyingi hakipatikani na ni gharama sana na huwa kinatumiaka kama ku confirm. ?

Ambapo kwenye Rapid test kuna vipimo viwili ambavyo ni SD bioline na Uni gold,Ambavyo kimoja wapo kwa sasa Tanzania halitumiki ambacho ni Uni gold.?

Au nimechanganya? Naomba nikumbushe maana kitambo sana.

Kwaiyo Elisa ina pima nn? c ndio hyo PCR naww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom