Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,869
Habari zenu wana jf.
Kuna nyuzi nyingi humu zikieleza juu ya hatua ya kupima DNA hata mimi nilikuwa sijuagi ni taratibu zipi zinahusika juu ya kupima DNA .
Leo naomba niwaeleze hatua nilizopitia mpaka kupima DNA
In short nilishawahi kudate na msichana fulani then tukaachana kwa sababu ambazo siwezi kuziandika humu.Mbaya zaidi huyo dada tulipoteana muda mrefu nimeshangazwa kuonana nae fb akanitumia sms kuwa eti mimi nilimuacha na mimba na kwa sasa ana mtoto wa miaka 2 kasoro hivyo nikaona kuna dalili ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
OK NGOJA NIRUDI KWENYE MADA
In short nilienda ofisi ya ustawi wa jamii nikajieleza wakanipa appointment ya kuja na mama wa mtoto then wakatusikiliza kwa pamoja mwisho tukatengenezewa barua ya kwenda kupokelewa ofisi ya mkemia mkuu then tukatengenezewa bill ya malipo kupitia Control number nikaomba zichukuliwe sample za watu wawili ambapo hapo ni mimi na mtoto jumla ni laki 2 kwa vile kila mmoja ni laki 1.MATOKEO NI BAADA YA MWEZI YAKATOKA NI ZERO.
Kama kuna swali nakaribisha