Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

Acha kurubuni watu futa haridhuii maambukizi ya vvu
 
Wazinzi kupima ni muhimu , mimi nipime huo ukimwi nitakua nimeunywea kwenye bia?
 
hii mada inanitia wazimu nimeruka na manzi mmoja nilikutana naye kama mara mbili tunapotezana leo tumeona nikashtuka kimoja nikakumbuka na vipimo kumpinga imo nikamzuga hivi vime expire twende zahanati kupima imo kesho nampelekea akaanza dawa mm natakiwa nikapewa leo ila hiyo kesho naona kuchelewa muniombee wadau
 
Unaandika huku unakimbia kaka.
Punguza asira afu sema mimi ni mshindi pia mana nimekuja Afya yangu Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…