Kupigwa kipara hadharani

WABHEJASANA, wewe lla mlango wazi shauri yako, kuna nyegere wakali anga hizi

Mkuu Bujibuji mi nakwambia sikamatiki,hata kama mlango huko wazi navaa Ovaroli la Plastiki lenye viperepere viingi halafu vinachoma kweli na kuwasha akijifanya kuweka tu kichwa lazima vimkwaruze na kumchoma,kibaya zaidi vinamuwasha kwenye paji la uso!!!!!
 
u made my day hommie
 
WABHEJASANA utakuwa hupiti hungumalwa ukiwa watoka au waenda mwanza aise
Nitakuw anaweka mawe pale barabarani ukionekana upigwe marufuku

Siku hizi raha napa na Fast Jet hata siahangaiki kama zamani,sema tu ninachokikosa ni zile nyama za Mbuzi za kuoka na kuchoma,lakini nimemkwepa pia yule Trafiki wenu Silas mrefu ka Twiga alikua lazima anivute ka Ten!!!!!!!!
 
Si unajua na sisi tuna utaalam wa kuzuia ndege kupaa aise mkuu WABHEJASANA
Bado wapo aise na wanasumbuaje wale jamaa yaani kila ukipita lazima wakupe mkono
 
Last edited by a moderator:
u made my day hommie

Ndo hivyo Mkuu Bujibuji,kuishi mjini ujanja,vinginevyo utajikuta unakua Dondokela kila mmoja anajifunzi kupiga kipara,kibaya zaidi wengine unakuta magoli yao ni lazima wafumue mashuti makali,sasa kama nyavu sio imara mpira unapitiliza kiasi kamba wananzengo wanaweza kudhani sio goli,il wewe kipa lazima ujue hilo ni goli.
 
tena kuna wengine hawana shabaha, mashuti yao yakigonga mwamba, mwamba unapinda
 
406822_343100979121211_1384882464_n.jpg

Haahaaaa! Utatufuma wengi maana niipoona kipara+hadharani nikajua mambo! Kumbe kipara cha kichwa cha juu!
 
Back
Top Bottom