Kupigiana simu kwa wanandoa

Asante sana nimekuelewa mkuu
 
Polee sana kiongozi
 
Ndugu,
ndoa za sasa hivi, hata akituma huo ujumbe unashukuru. We mpigie si ndo wa kwako?
 
Mm tunawasiliana through sms lkn no call yaani hata ile kumiss sauti ya mke wake?
Aisee acha utoto, kwani sauti yako haijui. Kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu huo ujinga nauchukia, inathibitisha bado unafikiri mapenzi tu. Akija mjinga mwingine akikutingisha kihisia kidogo tu basi utaiacha familia yako. Grow up
 
Hii ndo Shida ya wanaume mkishapata mnachotaka mbona wakati unamtongoza mkeo hukusubir akufuate akutongoze mwenyewe?
Wewe hujapata ulichotaka, kuna maisha baada ya uchumba. Mdogo wangu namwambia kabisa huo ujinga nisijesikia.
 
You are smart enough
 
tatizo matumizi ya simu kibongo bongo hatuna uelewa.
ukishamjulia mtu hali inatosha hayo mambo ya kutaka kuongea masaa au dakika nyingi haibadili chichote.

Nilishakua na mpenzi tulipendana sana ila akawa analalamika simpigii akaw awaza kua nilipo namcheat bas nkawa nampigia tunaongea mpka anaishiwa maneno nkikata tu simu navuta chombo nakizagamua alaf maisha yanaendelea bas yeye kisa kumpigia akawa anajiamini kua yuko mwenyewe.

Wanaume eehhhhh. hawa viumbe ni kuish nao kwa akili. anavyokuja ndivyo utakavyo mzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…