Kupigia kura vivutio vya Tanzania kuingia katika maajabu saba ya dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupigia kura vivutio vya Tanzania kuingia katika maajabu saba ya dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NKANOELI, Oct 3, 2012.

 1. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninafikiri ingekuwa jambo la busara kama mitandao ya simu ingeunga mkono hili jambo kwa kufanya utaratibu wa kutuma sms -kupigia kura vivutio vyetu kwa sababu kwa mtandao pekee itakuwa ngumu kushinda kwani walio na acess ya mtandao ni wachache,kama kutakuwa na namba ya sms ninahakika kura zitakuwa nyingi.Nawasilisha na naomba kusahihishwa kama sijaiweka sawa.:A S 465:
   
 2. N

  NKANOELI JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nina maana watu waweze kutumia simu zao kupiga kura kwa vivutio vyetu:Serengeti,Mlima kilimanjaro n.k
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,810
  Trophy Points: 280
  Yan sisi tupige kura wao wasafirishe Twiga wetu na ndege waka wauze!
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,724
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  Labda kupiga kura kuwa Tanzania ni nchi ya maajabu saba kwa wizi, umalaya, uongo kwa viongozi, wivu kwa waliokikosa, uoga, kichwa cha mwendawazimu dili za ajabu kama kuuza twiga
   
 5. T

  Tiger JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2015
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Samahani kwa waliopitia uzi huu wakitaraji kukuta list ya maajabu ya dunia.
  Lengo langu ilikuwa kutafuta majibu ya swali nililojiuliza muda mrefu.
  Nimewahi kusikia kipindi fulani watu wakihamasisha wenzao kupiga kura kwa wingi ili kuwesha kitu fulani
  kuingia katika kinyang'anyilo cha maajabu 7 ya dunia na hatimaye kushinda katika shindano hilo.
  Swali ni hili, kuna haja gani ya kupiga kura ili kuwezesha kitu fulani mfano, mlima Kilimanjaro ili kuingia katika mashindano
  wakati mlima uko pale na kama sifa zipo?
  Wingi wa kura unawezaje kuathiri maajabu au upekee wa kitu?
  Naomba kufahamishwa.
   
 6. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Hilo ajabu tukilipigia kura likashinda tutafaidika nini sisi wasakatonge?????????
   
 7. s

  songera JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hiyo sehemu kutangza vivutio vya utalii
   
 8. s

  songera JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Unadhani watalii watajuaje tz kunini
   
 9. black sniper

  black sniper JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 5,790
  Likes Received: 2,462
  Trophy Points: 280
  Swali lako zuri, lakini ikumbukwe kuwa Greeks ndio waliokuwa wa kwanza kuingiza rekodi za maajabu 7 ya dunia miaka 2000 iliyopita. Na vigezo vilikuwa ni sehemu zilizojengwa wakati huo ndio ziliorodheshwa, baada ya hapo ikawa tukawa tunapiga kura kuchagua maajabu hayo duniani kote. Unaposema mlima Kilimanjaro huo hauwezi kuingia kwenye maajabu ya dunia kwani haukujengwa na binadamu, Bali tunaangalia vilivyojengwa tu. Mwaka 2007 kulikuwa na kura za kuchagua ni yapi maajabu ya dunia na huwa hazivuki saba ingawa kuna mengi ya kuingia katika shindano hilo. Sasa basi mwaka 2007 watu wengi walijitokeza kupiga kura huwezi amini watoto ndio walikuwa wengi zaidi kupigia kura hayo maajabu ingawa sina uhakika Tanzania walichangia wangapi maana walikuwa watu milioni 90 waliopiga kura nafikiri Great pyramids haikuwemo na MACHU PICCHU ilikuwa ya nne. Pia kwa kuongezea tu watu wengi wanachanganya kati wonders of the world na Unesco world heritage sites.
   
 10. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  hao watalii toka wameanza kuja na kuondoka, kuna nafuu gani kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida???????????
   
 11. s

  songera JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kuna watu wanataka kuwe Luna mgao pesa
   
 12. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  yeah! kama walivyogawana za escrow.
  kura nipige mimi ili waubebe mlima kilimanjaro wangu kwenye ndege. akuuu!
   
 13. s

  songera JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Pesa za escrow ni zakwao tafuta zako
   
 14. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160

  za kwao!!!!!!!!!!!!!!!! zingekua zao tungewatoa kamasi???????????
   
 15. black sniper

  black sniper JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 10, 2013
  Messages: 5,790
  Likes Received: 2,462
  Trophy Points: 280
  Naona hapo unachanganya, maana maajabu ya dunia ni yale yaliyojengwa miaka 2000 iliyopita tu na si vinginevyo. Na kuhusu vivutio ambavyo vinalindwa kitaifa ni tofauti kabisa kwa hiyo unapoongelea Serengeti na Kilimanjaro ni world heritage sites zikiwemo nyingi tu Tanzania ambazo zinalindwa kitaifa ikiwemo pia mji wa mawe Zanzibar
   
 16. s

  songera JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Uwiiiiiiiii wivu
   
 17. Apologise lady

  Apologise lady JF-Expert Member

  #17
  Jan 16, 2015
  Joined: Sep 16, 2013
  Messages: 6,007
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  haya bhana! inawezekana uligaiwa wew mwenzangu.
   
 18. s

  songera JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2015
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,272
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwikwiiiiiiiiiiiii wasiwasi wako
   
 19. idoyo

  idoyo JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2015
  Joined: Jan 13, 2013
  Messages: 3,040
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  lazima kuwe na serikali imara ili mambo hayo yasitokee. serikali ya sasa dhaifu sana!
   
 20. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2015
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  Hili ni wazo lakini kumbuka uzuri au ubaya wa asili hauboreshwi kwa kupiga kura bali upo kwa asili. Haya sio mambo ya bongo fleva na akina wema.
  Ingelikuwa kura zinawezesha kitu kuwa bora basi Nigeria ambayo ina wakaazi karibia 190m na subscribers wengi wa simu ingeliongoza kwa vivutio. Na hivyo vivyo kwa ngazi ya dunia basi china ndio ingeliongoza kila kitu.

   
Loading...