Kupiga mke ni lazima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupiga mke ni lazima?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by pilau, Sep 5, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wanaopiga wake zao ni ushamba, uonevu au mapenzi?
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kupiga mke ni lazima, iwapo mmekubaliana ndoa yenu itakuwa physical na kwamba na yeye akikasirika anaweza kukupiga pia. What a man can do a woman can do!
   
 3. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kumpiga mke ni mapenzi ila mke kumpiga mumewe ni uonevu..
  Na kama wakipigana mbele ya watoto basi huo ni ushamba...
  Source:Mimi mwenyewe mkurya
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  hivi mpaka karne hii wapo wanaowadunda wake zao!!
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kupigana ukubwani haipendezi.Kuna namna nyingi za kurekebishana na kuelewana...Kwa hiyo inaweza kuwa ni ujinga fulani....
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,940
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  kupigana katika ndoa ni matter ya survival na demise ya ndoa...so tafakari sana kabla hujarusha ngumi
   
 7. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ushamba na ulimbukeni,wallahi nashindwa khasa kufahamu unampigaje mkeo halafu unakuja kulalanae?
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Wanaopiga wake zao ni watu wasio na uwezo wa kukabiliana na changamoto za wake na kushindwa kudhibiti hasira zao.
  Kimsingi ni maamuzi ya jazba ya hasira ya bila kufikiri.
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,265
  Likes Received: 4,245
  Trophy Points: 280
  ni kutokujiamini na malezi mabovu...............

  janaume lisilojiamini tu ndo linapiga mke wake
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,506
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  mh pacha!ngoja ninywe chai kwanza af nije!
   
 11. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,506
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  nashangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!pacha wangu Snowball anasema ni mapenzi!
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  halafu nyie mapacha huwa mnanichanganya...nikiona majina yenu kama naona double double vile...mmefanana kama betri za National & Panasonic
   
 13. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,964
  Likes Received: 3,000
  Trophy Points: 280
  kule kwetu wanaita mkoa wa wanaume
   
 14. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  too good huja-classify kupiga kupi....mimi napigaga sana.... nampiga mke wangu busu,,,,nampiga shopping ya nguvu.....nampiga bao.....This is my way
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,506
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  SAFI!unakunywa kinywaji gani?
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,566
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja katika hili!!
   
 17. Blue G

  Blue G JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 4,703
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Ahaaaaaaaa ndo maana yaani nilikuwa nimejitayarisha kubwatuka,ila ulivyosema we mkurya tu breki niliyopiga haina mfano.
   
 18. Msherwa

  Msherwa JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 1,347
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  hata mi napiga sana! Ahahaha
   
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  hahaha mura tatigha!
   
 20. Blue G

  Blue G JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 4,703
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Hewalaaaaa Asabaya hapo umenena kabisa yaani haingii akilini kabisa.Hebu toatoa somo lieleweke. kazia haswa kwa wenzetu wakina tatamura maanake hao naona ndo kuna shughuli pevu kwenye hilo swala.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...