Kupiga mke ni lazima?

nashindwa kuchangia, kwasababu nina interest hapa, NILISHAWAHI KUPIGA MKE tena kwa hasira kabisa. ilikuwa zamani, enzi za ujinga, miaka miwili hivi baada ya kuoana kwa ndoa, nafikiri kila mmoja alikuja na malezi yake ya kwao, mara waifu nikaona kama anataka kunipanga kichwani, kuongea kwa mdomo ikashindikana mabishano mabishano hasira na kudharauliana, hadi kikanuka tena haswa. kwa muda kama wa miezi sita nilikuwa kama mbogo ndani ya nyumba, hadi demarcation/mipaka/limit zilivyojulikana kwa kila mtu, akanisoma vizuri na kunijua mipaka yangu na jinsi ninavyopenda kuonekana mwanaume na si kuwa chini yake, na mimi nikamsoma, nikakaa chini na kumpa lecture. aliamua kuishi kulingana na jinsi nilivyo, kile kiburi cha kwao nilikata mzizi sasa tunapendana sana sana, ninampenda hawa na yeye pia, na maisha yetu ni mazuri mno tunaishi kama mapacha vile. watoto wetu wanafurahia upendo wetu.

kwa mwanaume halisi, aliyeoa mwanamke halisi, hakuna ambaye hajawahi kupiga mke, kama hutampiga kwa ngumi, utampiga kisaikolojia (psychological torture) ambayo ni mbaya zaidi kwasababu inaweza kuleta hadi frustration. bora ukirusha kofi unaweza kujifanya unaomba msamaha badae kwamba ilikuwa hasira tu yaishe, na hapohapo msg inakuwa sent, anajua wakati mwingine ukipandwa na hasira huwa kinanuka hivyo kiongozi wa nyumba anakuwepo na mama wa nyumba anakuwepo...
 
Kwetu Nyamongo wanasema mwanamke ni kama mtoto ila kiboko mambo hayaendi.
 
Inategeme una piga na nini!mimi
huwa ana lilia nimpige na bakora hii kuu kuu manake anavyopiga kelele za utamu hadi majirani wana kuja kuamulia!
 
Unyanyasaji wa hali ya juu kumpiga mke/mume.. Physical voilence siyo kitu cha kuendekeza kabisa kwenye mahusiano/ ndoa.
Unakuta mwanaume anaanza kukunasa kibao, kama mwanamke hutakemea hili ña kuliruhusu litokee basi siku nyingine anaongeza kichapo mwishoe inakuwa mazoea.
 
hahahahaaaa! kwangu niko tofauti sana na wegi humu. naona ni lazima as long as ndizo terms zenu.
 
Wako wanaume mafedhuli ambao kupiga wake zao bila ya sababu za msingi ni jambo la kawaida hawana aibu, kunyanyasa wake zao ni kitu cha kawaida
Wanaopiga wake zao ni ushamba, uonevu au mapenzi?
 
Back
Top Bottom