Nilitaka kumuuliza swali hili hili kwa kuanziaKati ya Wewe na huyo mwanamke nani alie mtongoza mwenzake,?
Nilitaka kumuuliza swali hili hili kwa kuanziaKati ya Wewe na huyo mwanamke nani alie mtongoza mwenzake,?
Kunywa bear mkuu,huu msumari umepiga penyeweNiliwahi kuambiwa kuwa usije ukaoa mwanamke kwa kumuonea huruma,
Mapenzi ni papuchi mengine hata beki tatu anaweza kufanya
Sent using IPhone X
Muache huyo mwanamke aende zake, maana hata ukimuoa kwakua hukumpenda utamfanyia vituko na madhara yake yanaweza kuwa makubwa baadae hata kwa watoto wenu kama mkijaliwa watoto. Usimuoe maana hata maandiko yanasema mwanaume anatakiwa ampende mkewe na mwanamke amuheshimu mumewe.mapenzi yanakuwa mtihani sana kwangu,nataman nimpende kama anavyonipenda lakin nashindwa.
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba kushare na ninyi hiki kitu maana kimekuwa kikinisumbua sana. Nimekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana na kweli yule dada ana sifa zote za kuwa mke ila tatizo liko kwangu moyo wangu unakuwa mzito sana kila nikijitahidi nioneshe mapenzi ya kutoka moyoni najikuta nashindwa kabisa na hisia zangu kwake wakati mwingine zinaisha kabisa.
Kila nikijilazimisha nifanye maamuzi ya process za ndoa najikuta moyo unagoma kabisa, yaani pamoja na kwamba ananipenda sana na yuko tayari kufanya chochote kwaajili yangu lakini mimi moyo wangu haupo kabisa kwake. Kila nikijitahidi nimpende najikuta nashindwa.
Naomba kama kuna watu walishawahi kupitia hii changamoto tushare uzoefu ili niweze kuamua kama ninaendelea naye au kila mtu
Acha mara moja . Ndoa sio maigizo mkuu utaumia sana
Ukimuoa utajuta mara moja tena kidogo sana na utampenda baadae sanasana. Ukimuacha utajuta mara mbili mpaka tatu...na inawezekana ikawa mpaka mwisho wa maisha.Habari zenu wana JamiiForums
Naomba kushare na ninyi hiki kitu maana kimekuwa kikinisumbua sana. Nimekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana na kweli yule dada ana sifa zote za kuwa mke ila tatizo liko kwangu moyo wangu unakuwa mzito sana kila nikijitahidi nioneshe mapenzi ya kutoka moyoni najikuta nashindwa kabisa na hisia zangu kwake wakati mwingine zinaisha kabisa.
Kila nikijilazimisha nifanye maamuzi ya process za ndoa najikuta moyo unagoma kabisa, yaani pamoja na kwamba ananipenda sana na yuko tayari kufanya chochote kwaajili yangu lakini mimi moyo wangu haupo kabisa kwake. Kila nikijitahidi nimpende najikuta nashindwa.
Naomba kama kuna watu walishawahi kupitia hii changamoto tushare uzoefu ili niweze kuamua kama ninaendelea naye au kila mtu ajue lake.