Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,814
- 40,572
Ukitafutacho mbona utakipata.
Dah! Unamoyo ndugu!Binafsi nishajisemea nitampenda yoyote atakayenipa Attention yake hata kama ana sura kama ya big show (sorry nobody ugly ).
Lakini hata hao wa kunipa attention hamna kila naempenda kwake nakua mbingu na ardhi..
Usichezee bahati kiongozi..Utakumbuka halfu useme "Ningejua" mind you hakuna neno au sentesi yenye maana ikianza na neno ningejua
Havache kakaHii kitu huwa ina back fire.. The same situation will happen to him in future
Jr[emoji769]
Binafsi nishajisemea nitampenda yoyote atakayenipa Attention yake hata kama ana sura kama ya big show (sorry nobody ugly ).
Lakini hata hao wa kunipa attention hamna kila naempenda kwake nakua mbingu na ardhi..
Usichezee bahati kiongozi..Utakumbuka halfu useme "Ningejua" mind you hakuna neno au sentesi yenye maana ikianza na neno ningejua
Okey.Sawa na huyu single mama mmoja, kinganganizi sijawahi ona, mbaya afu ana mtoto sasa nyodo nikinuacha hakubali nikijifanya wacha nimfariji anaanza jeuri.
Nadhani hanijui kuwa mimi ni nishai wacha nitamtolea uvivu.. [emoji205]
Sent using Jamii Forums mobile app
asantee kwa ushauri kiongoziBinafsi nishajisemea nitampenda yoyote atakayenipa Attention yake hata kama ana sura kama ya big show (sorry nobody ugly ).
Lakini hata hao wa kunipa attention hamna kila naempenda kwake nakua mbingu na ardhi..
Usichezee bahati kiongozi..Utakumbuka halfu useme "Ningejua" mind you hakuna neno au sentesi yenye maana ikianza na neno ningejua
nitajitahid nione kama nitawezaUsichezee BAHATI fanya km vile umepewa mke na wazaz na hana kasoro jifunze kumpenda anaekukubali atakuvumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mbona kama ushauri wako umenigusa hivi,uliposema hiyo 50yrs moyo umestuka sana,asantee kwa ushauri mzuri natamani nije DM.Wala usijipe shida umwambie wewe huwezi kuwa nae.
Wewe ni wale wanaume mpaka miaka 50 hawajaoa, dunia ni hakuna chaguo lao liko mbinguni.
Tena mwache Leo, kufika mwakani atakuwa akishakusahau. Ukizingati sisi wanawake tu napenda kwa kuvumilia.
Tunaambiwa ma mama zetu kuwa mahusiano ni uvumilivu, basi nikuhakikishie hiyo Dada anakupenda kwa kukuvumilia.amejikuta amekuzoea.
Utakapokuwa unasoma hii comment yangu jiangalie kuanzia ukucha hali kichwani....... Vip umepona nini? Hujaona mapungufu ulionayo? + Yale mengine yasionekana?....
Ukishamaliza kujiangalia jipe jibu ni kiasi gani nae anakuvumilia basi amekuzoea.
Mmh hili povu nikalifulie nguo.
Alafu inawezekana ukishamuacha nayeye akamove-on ndipo utakapojua jinsi gani ulikuwa wampenda.mapenzi yanakuwa mtihani sana kwangu,nataman nimpende kama anavyonipenda lakin nashindwa.