Kupendwa sana na mtu usiyempenda

Kupendwa sana na mtu usiyempenda

Povu lenye ujumbe
Wala usijipe shida umwambie wewe huwezi kuwa nae.

Wewe ni wale wanaume mpaka miaka 50 hawajaoa, dunia ni hakuna chaguo lao liko mbinguni.

Tena mwache Leo, kufika mwakani atakuwa akishakusahau. Ukizingati sisi wanawake tu napenda kwa kuvumilia.

Tunaambiwa ma mama zetu kuwa mahusiano ni uvumilivu, basi nikuhakikishie hiyo Dada anakupenda kwa kukuvumilia.amejikuta amekuzoea.

Utakapokuwa unasoma hii comment yangu jiangalie kuanzia ukucha hali kichwani....... Vip umepona nini? Hujaona mapungufu ulionayo? + Yale mengine yasionekana?....

Ukishamaliza kujiangalia jipe jibu ni kiasi gani nae anakuvumilia basi amekuzoea.

Mmh hili povu nikalifulie nguo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anakupenda, ana tabia nzuri, una uwezo wa kufanya mapenzi ukiwa naye, anaamini ww ndo mwanaume hakuna mwingine kama wewe, Oa.

Ukishaingia kwenye ndoa na mtu mnaanza kuvumiliana. Ss kama umemwacha anayekupenda sana ukabeba anayekupenda kawaida ndo utamkumbuka yule aliyekupenda sana for the rest of your horrible marriage life. Maana wanawake uvumilivu huwa upo chini sana.
 
Hii kitu huwa ina back fire.. The same situation will happen to him in future

Jr[emoji769]
ni ukweli kabisa, malipo ni hapa hapa duniani, na heri amuache tu atapata wa kumpenda kuliko kumpotezea muda
 
Binafsi nishajisemea nitampenda yoyote atakayenipa Attention yake hata kama ana sura kama ya big show (sorry nobody ugly ).
Lakini hata hao wa kunipa attention hamna kila naempenda kwake nakua mbingu na ardhi..
Usichezee bahati kiongozi..Utakumbuka halfu useme "Ningejua" mind you hakuna neno au sentesi yenye maana ikianza na neno ningejua
Wewe kama mimi
 
Kama anakupenda, ana tabia nzuri, una uwezo wa kufanya mapenzi ukiwa naye, anaamini ww ndo mwanaume hakuna mwingine kama wewe, Oa.

Ukishaingia kwenye ndoa na mtu mnaanza kuvumiliana. Ss kama umemwacha anayekupenda sana ukabeba anayekupenda kawaida ndo utamkumbuka yule aliyekupenda sana for the rest of your horrible marriage life. Maana wanawake uvumilivu huwa upo chini sana.
Hatuna kabisa uvumilivu hasa kama nilikupendea kaz yako au pesa
 
Zikishalala izo chuchu unamuacha? Na bado tumbo LA uzazi halijaning'inia na bado hajanenepeana kama kiroba. Hahaaa Pole sana
Dah! Unamoyo ndugu!
Mi huyo ugly face nitamfanya kuwa rafiki tu swala la yeye kunipenda nami kumpenda,nitampenda kama rafiki ila kimapenzi nasema kabisa mi mbaguzi na ni haki yangu kubagua ila ubaguzi wangu sio wa kudhihaki au kumfedhehesha mtu yeyote!
Napenda Toto fulani hivi potabo zenye pozi za kipekee chuchu saa sita msambwanda wa wastani kiujumla yani mzuri😂

Mkuu usiende putaputa utakuja kujuta we sema tu yoyote shauli yako😜
 
Zikishalala izo chuchu unamuacha? Na bado tumbo LA uzazi halijaning'inia na bado hajanenepeana kama kiroba. Hahaaa Pole sana
😥😥
Simuachi ila ila ila...🤔

Neyo lolo otuzonilembaga! Bale basweetie batochuchaga😜
 
Mapenz ni hisia mkuu...kama hazipo usilazimishe ,fikiria kuoa mtu ambaye akikupigia simu au kukutext unaona kero...kama sasa hvi huna hisia naye yakishaingia mazoea si ndio kabisa atakuchosha...matokeo yake kazin unatoka saa kumi home unaingia saa nne usiku ili tu umkute amesinzia ....hata watu wakushauri vip we isikilize sauti iliyondani kwako ...better kuwa senior bachelor na unaenjoy maisha yako kuliko kuoa mapema na huna furaha na mkeo wala ndoa yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...ILA WAKUU MNAMLAUMU MTOA MADA ILA HAMJUI TU SOMETIMES UNA FEEL GUILTY UNAFOSI HISIA WAPI NA UKICHEKI YUPO HUMBLE NA FAITHFUL NA WEWE NDO KWANZA UNA CHEAT UNAJIONA MKOSAJI HAUMSTAHILI KABISA UNAMUONA HURUMA KUJIENGUA NDO KAZI



DAAH SITAKAA NISAHAU ILINIBIDI NIZIME SIMU NILIKIMBIE GHETO NIKAENDA KUTULIA MAENEO ALMOST 3 WEEKS SIPATIKANI HAKUNA ANAJUA NILIPO NIKAANZA KUFANYA MOVEMENT ZANGU TARATIBU BADILI HADI KIJIWE NA MTAA NIKAMPANGA JAMAA AKIULIZA KIJIWEN MWAMBIE ALIUGUA AKILI YUPO HUKO KWAO WAMEMFUNGA NA KAMBA KABISA ALIMTAJIA MKOA WA MBALI AKAWA ANATAKA NAMBA ZA NDUGU HAHA KUMBE NDUGU NIMSELA WANGU TITO NIPO NAE JOB NILIMPANGA TU KILA KUKICHA NI KUPIGA SIMU KUJUA NAENDELEAJE MPAKA JAMAA AKAONA KERO ALITAKA AFUNGE SAFARI AJE SEMA WALIMDANGANYA WASHANIPELEKA HOSPITAL YA VICHAA DODOMA NA VILE KUMJIBU MAKATO KILA ANAPONIULIZIA KWA MSHIKAJI NA ALIKUWA ANAMWAMBIA MSHIKAJI MUE MNAMUOMBEA MI KILA SIKU NINAFANYA MAOMBI KWA AJILI YAKE NA NTAJARIBU KUONGEA NA MCHUNGAJI WANGU NI ORGANIZE NIONE ITAKUAJE NB YULE MANZI ALIKUA MLOKOLE


HIVYO BASI NILICHOJIFUNZA NI KUHESHIMU HISIA ZA MTU AISEE NA VYEMA KUMWAMBIA KULIKO KUENDELEA KUIUMIZA NAFSI YAKO AU TOWEKA KWENYE MAISHA YAKE KWA NJIA YEYE AMBAYO HAITOMUUMIZA NI HAYO TU


MPENDE AKUPENDAE ASIEKUPENDA......UTAMALIZIA
 
Mwambie ukweli, ataumia ila baada ya muda atakuwa sawa!
Kuendelea kukaa kimya ni kumpotezea muda, nawe unajipotezea muda pia!
 
Back
Top Bottom