Kupendwa sana na mtu usiyempenda

Kupendwa sana na mtu usiyempenda

Dada mbona kama ushauri wako umenigusa hivi,uliposema hiyo 50yrs moyo umestuka sana,asantee kwa ushauri mzuri natamani nije DM.
Wewe tafuta hela ukishafika hiyo 50 pesa ndo zitakubusti, mwanamke utampata, ila kama una 50 ndo kwanza huna hata nyumba, bado unapanda daladala za Mbagala, wadogo zako hukuwasomesha. Pole sana.

Note: wanaume usisahau huu ukweli ingawa unauma

" mwanamke Wa kwanza nae maisha, namaanisha huna kitu chochote ni yule uliemuoa akiwa na umri wa 18-25 na wewe ukiwa under 30 tofauti na hapo kubali matokeo, kwamba kama ulishindwa kuoa muda ule na wewe ulikuwa unaangaika na dunia sasa umekutana na mwanamke ana 35 wewe una 40 mkapenda wewe oa tu. Ya kumsimanga kuwa wanawake wanapenda hela na wanaume waliofanikiwa, wewe yameze tu maana ilibidi uoe mapema yakakushinda. Tofauti na hapo kaoe mbinguni.😁😁😁😁😁😁😁

Nb. Mm hela nazipenda, mambo ya kujiosha hapa Jf kuwa oh mm sipendi hela ni unafiki. Hakuna asiependa mambo mazuri.😀😀😀😀

Hii corona sijui kwa nini inaniharibia ndoto zangu
 
Hili jambo limekuwa linanisumbua sana, nafikiria namna ya kulitafutia ufumbuzi.
 
Mwache dada wa watu mapema vile anakuvumilia unamuona boya siku akiondoka ndo utajua una mpenda, na ukute hata hakupendi vile mazoea.
Tukijifunza kuheshimu wanaotujali Lia Lia ya mapenzi itaisha. I'm telling you huyo akiondoka utaanza kumkumbuka ndio mlivo wanaume, hapo umepata pasua kichwa lako linakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko sawa mkuu,yupo wakwangu nae ananipenda sabaa ila cjapnga hata kumuoa cz nkion vitu anavyodemand kwa ss naoan bdo hajapevuka kuwa mke wa kuishia hapo,bad enough yaan msg zake huwa kama anamuandikia kaka yake,hayuko romantic kabx,ebt vumiliq tu mkuu ila usionyesh nia kabxa kuwq utamuaoa maana ndo atadumbukia zaid
 
Wanawake huwa hatupendi mkuu usijidaganye anakupenda sie tunatii basi, be careful wanawake tuna change ka vinyonga
Ushauri:
Oa mwanamke anayekupenda sio unayempenda alafu yeye hakupendi. Kupata mwanamke ambaye wewe unampenda na yeye anakupenda kazi sana siku hizi, unaweza ukabahatisha ukadhani amekupenda kumbe kapenda pesa au mali. Unapokaa na mwanamke na unapozidi kuwa mkubwa kiumri na kiakili utaanza tambua kuwa unampenda. Jioe muda nae, usioe kwanza ila jipe muda nae kama mwaka au miwili kama nae ana subira, kama hana hana subira anaweza huyo ndege akaruka usimpate tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...ILA WAKUU MNAMLAUMU MTOA MADA ILA HAMJUI TU SOMETIMES UNA FEEL GUILTY UNAFOSI HISIA WAPI NA UKICHEKI YUPO HUMBLE NA FAITHFUL NA WEWE NDO KWANZA UNA CHEAT UNAJIONA MKOSAJI HAUMSTAHILI KABISA UNAMUONA HURUMA KUJIENGUA NDO KAZI

DAAH SITAKAA NISAHAU ILINIBIDI NIZIME SIMU NILIKIMBIE GHETO NIKAENDA KUTULIA MAENEO ALMOST 3 WEEKS SIPATIKANI HAKUNA ANAJUA NILIPO NIKAANZA KUFANYA MOVEMENT ZANGU TARATIBU BADILI HADI KIJIWE NA MTAA NIKAMPANGA JAMAA AKIULIZA KIJIWEN MWAMBIE ALIUGUA AKILI YUPO HUKO KWAO WAMEMFUNGA NA KAMBA KABISA ALIMTAJIA MKOA WA MBALI AKAWA ANATAKA NAMBA ZA NDUGU HAHA KUMBE NDUGU NIMSELA WANGU TITO NIPO NAE JOB NILIMPANGA TU KILA KUKICHA NI KUPIGA SIMU KUJUA NAENDELEAJE MPAKA JAMAA AKAONA KERO ALITAKA AFUNGE SAFARI AJE SEMA WALIMDANGANYA WASHANIPELEKA HOSPITAL YA VICHAA DODOMA NA VILE KUMJIBU MAKATO KILA ANAPONIULIZIA KWA MSHIKAJI NA ALIKUWA ANAMWAMBIA MSHIKAJI MUE MNAMUOMBEA MI KILA SIKU NINAFANYA MAOMBI KWA AJILI YAKE NA NTAJARIBU KUONGEA NA MCHUNGAJI WANGU NI ORGANIZE NIONE ITAKUAJE NB YULE MANZI ALIKUA MLOKOLE

HIVYO BASI NILICHOJIFUNZA NI KUHESHIMU HISIA ZA MTU AISEE NA VYEMA KUMWAMBIA KULIKO KUENDELEA KUIUMIZA NAFSI YAKO AU TOWEKA KWENYE MAISHA YAKE KWA NJIA YEYE AMBAYO HAITOMUUMIZA NI HAYO TU

MPENDE AKUPENDAE ASIEKUPENDA......UTAMALIZIA
kwa hyo mkuu ulimrudia au ndo kakata tamaa mwenyew?
 
Kama siyo single mother muowe maana masingo mama ndo wanatabia ya kujidai wanapenda kwa dhati wakat walishazalishwa na mtu mwngne

GunFire
 
Wewe tafuta hela ukishafika hiyo 50 pesa ndo zitakubusti, mwanamke utampata, ila kama una 50 ndo kwanza huna hata nyumba, bado unapanda daladala za Mbagala, wadogo zako hukuwasomesha. Pole sana.

Note: wanaume usisahau huu ukweli ingawa unauma

" mwanamke Wa kwanza nae maisha, namaanisha huna kitu chochote ni yule uliemuoa akiwa na umri wa 18-25 na wewe ukiwa under 30 tofauti na hapo kubali matokeo, kwamba kama ulishindwa kuoa muda ule na wewe ulikuwa unaangaika na dunia sasa umekutana na mwanamke ana 35 wewe una 40 mkapenda wewe oa tu. Ya kumsimanga kuwa wanawake wanapenda hela na wanaume waliofanikiwa, wewe yameze tu maana ilibidi uoe mapema yakakushinda. Tofauti na hapo kaoe mbinguni.😁😁😁😁😁😁😁

Nb. Mm hela nazipenda, mambo ya kujiosha hapa Jf kuwa oh mm sipendi hela ni unafiki. Hakuna asiependa mambo mazuri.😀😀😀😀

Hii corona sijui kwa nini inaniharibia ndoto zangu
ngoja tuoe kabla hatujafika kwenye danger zone😀😀😀
 
Mapenz ni hisia mkuu...kama hazipo usilazimishe ,fikiria kuoa mtu ambaye akikupigia simu au kukutext unaona kero...kama sasa hvi huna hisia naye yakishaingia mazoea si ndio kabisa atakuchosha...matokeo yake kazin unatoka saa kumi home unaingia saa nne usiku ili tu umkute amesinzia ....hata watu wakushauri vip we isikilize sauti iliyondani kwako ...better kuwa senior bachelor na unaenjoy maisha yako kuliko kuoa mapema na huna furaha na mkeo wala ndoa yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
hili nalo neno kwakweli maana unakuwa unawaza kama sasa hivi sina hisia naye huko mbeleni ndo hisia zitakuja
 
Write your reply...ILA WAKUU MNAMLAUMU MTOA MADA ILA HAMJUI TU SOMETIMES UNA FEEL GUILTY UNAFOSI HISIA WAPI NA UKICHEKI YUPO HUMBLE NA FAITHFUL NA WEWE NDO KWANZA UNA CHEAT UNAJIONA MKOSAJI HAUMSTAHILI KABISA UNAMUONA HURUMA KUJIENGUA NDO KAZI

DAAH SITAKAA NISAHAU ILINIBIDI NIZIME SIMU NILIKIMBIE GHETO NIKAENDA KUTULIA MAENEO ALMOST 3 WEEKS SIPATIKANI HAKUNA ANAJUA NILIPO NIKAANZA KUFANYA MOVEMENT ZANGU TARATIBU BADILI HADI KIJIWE NA MTAA NIKAMPANGA JAMAA AKIULIZA KIJIWEN MWAMBIE ALIUGUA AKILI YUPO HUKO KWAO WAMEMFUNGA NA KAMBA KABISA ALIMTAJIA MKOA WA MBALI AKAWA ANATAKA NAMBA ZA NDUGU HAHA KUMBE NDUGU NIMSELA WANGU TITO NIPO NAE JOB NILIMPANGA TU KILA KUKICHA NI KUPIGA SIMU KUJUA NAENDELEAJE MPAKA JAMAA AKAONA KERO ALITAKA AFUNGE SAFARI AJE SEMA WALIMDANGANYA WASHANIPELEKA HOSPITAL YA VICHAA DODOMA NA VILE KUMJIBU MAKATO KILA ANAPONIULIZIA KWA MSHIKAJI NA ALIKUWA ANAMWAMBIA MSHIKAJI MUE MNAMUOMBEA MI KILA SIKU NINAFANYA MAOMBI KWA AJILI YAKE NA NTAJARIBU KUONGEA NA MCHUNGAJI WANGU NI ORGANIZE NIONE ITAKUAJE NB YULE MANZI ALIKUA MLOKOLE

HIVYO BASI NILICHOJIFUNZA NI KUHESHIMU HISIA ZA MTU AISEE NA VYEMA KUMWAMBIA KULIKO KUENDELEA KUIUMIZA NAFSI YAKO AU TOWEKA KWENYE MAISHA YAKE KWA NJIA YEYE AMBAYO HAITOMUUMIZA NI HAYO TU

MPENDE AKUPENDAE ASIEKUPENDA......UTAMALIZIA
achana na kitu kinachoitwa hisia,ulichokisimulia ndo kinachonitokea na mm sasa,mtu yuko very humble na hastahili kufanyiwa baya lolote unaanzaje kukaa na kumwambia eti sina hisia na ww,kama siyo kumtafutia balaa mtoto wa watu.
 
Alafu inawezekana ukishamuacha nayeye akamove-on ndipo utakapojua jinsi gani ulikuwa wampenda.
kwamba baada ya kuachana nitampenda mbona huu mtihani sasa,ila naamin nikipata mtu tukapendana sana nitamsahau.
 
Mwache dada wa watu mapema vile anakuvumilia unamuona boya siku akiondoka ndo utajua una mpenda, na ukute hata hakupendi vile mazoea.
Tukijifunza kuheshimu wanaotujali Lia Lia ya mapenzi itaisha. I'm telling you huyo akiondoka utaanza kumkumbuka ndio mlivo wanaume, hapo umepata pasua kichwa lako linakusumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
sijamuona boya mpaka natafuta ushauri naheshimu sana hisia zake,mapenzi ni hisia kama hisia hazipo unafanyaje hicho ndo ungenishauri,ila asantee kwa ushari wako
 
kwamba baada ya kuachana nitampenda mbona huu mtihani sasa,ila naamin nikipata mtu tukapendana sana nitamsahau.

[emoji1][emoji1] kumbe hata mtu unaeendana nae huna alafu unataka umuache huyo anaekuonesha upendo? Hakika unakosea sana na hii korona sijui utampata wapi huyo unaemuota/ unaemtafuta
 
Hisia zangu zinanifanya nishindwe kuchukua maamuzi ya kipi nifanye nataka nitangaze ndoa haraka iwezekanavyo lakin,lakin moyo unakuwa mzito sana
 
Hahaaaa mwanaume hanaga future na mwanamke zaidi ya kusex. Hata pale anapoongelea future it's really sex future. Na hiyo ndo itamuingiza mwanaume mkenge wa ndoa.

To prove this mwanamke akikaa kwenye ndoa na kujisahau na kujiweka ka ajuza na kukosa mvuto mwanaume utatafuta mwenye mvuto zaidi yake (mchepuko) na atahudumia vizuri na mwanamke atakomaa bila kujua mwanaume future yake ni sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hisia zangu zinanifanya nishindwe kuchukua maamuzi ya kipi nifanye nataka nitangaze ndoa haraka iwezekanavyo lakin,lakin moyo unakuwa mzito sana
Jitahidi ila ukiona unashindwa mwambie ukweli asizidi kupoteza mda wake kwako.
 
Back
Top Bottom