DEGIJONZE
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 144
- 89
Habari zenu wana JamiiForums
Naomba kushare na ninyi hiki kitu maana kimekuwa kikinisumbua sana. Nimekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana na kweli yule dada ana sifa zote za kuwa mke ila tatizo liko kwangu moyo wangu unakuwa mzito sana kila nikijitahidi nioneshe mapenzi ya kutoka moyoni najikuta nashindwa kabisa na hisia zangu kwake wakati mwingine zinaisha kabisa.
Kila nikijilazimisha nifanye maamuzi ya process za ndoa najikuta moyo unagoma kabisa, yaani pamoja na kwamba ananipenda sana na yuko tayari kufanya chochote kwaajili yangu lakini mimi moyo wangu haupo kabisa kwake. Kila nikijitahidi nimpende najikuta nashindwa.
Naomba kama kuna watu walishawahi kupitia hii changamoto tushare uzoefu ili niweze kuamua kama ninaendelea naye au kila mtu ajue lake.