ha ha ha haMapenzi na pesa vinakwenda pamoja. Usibitenganishe tafadhali wakati wao ni marafiki waloshibana.
ha ha ha kwa nini mkuu?Ndio maana sipendi mwanamke ninae date nae anijue much
😂😂😂😂😂😂Hapo sio kwamba unakuwa umependwa ila umefanywa buzi. Mtu akikupenda anakupenda kivyovyote
Wanaweza wasiwepo,sasa inatokea unaishi naye halafu pesa inakata,hapo itakuwaje?Kumpata wa kukupenda bila pesa sijui kama bado yupo
Wanaweza wasiwepo,sasa inatokea unaishi naye halafu pesa inakata,hapo itakuwaje?
Kwani rahaa sio kitu...?[emoji23]Mbn msukuma nampenda na hanipi kitu
MmmhhMna jema nyie kwani?
Watajiju sasa,kufikishwa kileleni watatufikisha na pesa watatoa.
Kwa nini wasema hivyo?
ha ha ha kwa nini mkuu?
ha ha ha ha mapenzi ni garamaMkijua mnapendwa mnanata sana
Wanasema rafiki/ndugu wa kwanza na wakaribu ni pesa...baada ya hapo wengine wanafuataPesa rafiki wa kweli
Binadamu wanafiki
ha ha ha kwa hiyo sisi makabwela tuende wapiMkono mtupu haulambwi
ha ha ha haPesa ikikata unarudi kwa mamaako mzazi
ha ha ha yaani kwa sasa hivi kila sehemu ukigusa ni pesa tu....naona watakuwa wamefanya ni kitega uchumi mkuuWatoto wa kibongo nimewavulia kofia kwa mizinga. Hasa huu wa simu mbovu ndio umesimama kidedea.