Ndio hapo, unaweza fukuza watu wema bure.
At the same time, kwa mtizamo wangu urafiki hauombwi, na wala huufanyii kazi, unakuja naturally. Nikiona natumia nguvu nyingi sana kupatana na mtu naona kama utumwa fulani. Imagine, kuna gestures ndogo ndogo tu, sijui katengeneza smoothie kwake anakuletea, kesho ka bake nini anakuletea.
Mie sibebagi msosi toka home labda niandikiwe na daktari, nitarudishaje? Si lazima waendane wote wanaleteana vitu, mie nachoka kwa kweli.
Niliwahi kumwambia mmoja, wengine wakaona nime over react, nikajisemea labda kweli.
Kuanzia siku hiyo sisemi, lakini nipo nipo tu.
Na mfanyakazi mwenzangu aliniambia niko 'mean', sijui nakosea wapi.
Mi wanawake wote waninunie huwa sina shida.........lakini sio wanaume.........nitajitundika wallah.........
Nani anamzoea mke wetu mkubwa??
Leo ilikuwa zamu yako lakini itabidi nighairi nikatatue hili tatizo.
Mimi siwezi.........sijakuzoea halafu uanze kunicare........mwanamke mwezangu.......dunia hii ya sasa.......mweeee mweee.,.....
Binafsi hayo mazoea sitaki kabisa........hasa kwa sisi wanawake ndio kutafutana umbea...........
Wadada wengi huwa hamjiamini kiasi kwamba ukionesha kujali kidogo tu huwa mna vile vitabia vyenu vya kumfukuza mtu mnaviibua....
Mimi sioni ubaya ila kinachotakiwa ni kuwa mwangalifu sana,mipaka kuwepo ni muhimu ili heshima iendelee kuwepo. Wakati mwingine ni ngumu kujua kwani moyo wa mtu ni kichaka,kuna wengine huwa wema kabisa na ni watu watakaokufaa maishani na wengine si watu wema.
Wanawake wana-complicate sana maisha. Mambo mengine ni kuyaacha yaje jinsi yalivyo kwa sababu tumetofautiana mitizamo, tabia n.k.
Kama sijaona ubaya why niogope litakalokuja!??
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf