KUPENDANA RAHA JAMANi

KUPENDANA RAHA JAMANi

kanye-west-and-amber-rose-tongue-kiss.jpg
Mhhh thats nasty!!!!
 
​Fikra zako ziliwaza nini kuhusu mapenzi farkhina?

Ni kujali to each other,kujitolea muhanga kufanya vitu ambavyo mwenzio anapenda ilimradi tu mwenzio anafurahi kuwa na wewe,uaminifu,kuvumiliana katika hali zote shida na raha,na mengine mengi tu BAK hata nkisema hayeshi...hayo mambo ya kubusiana sijui makorokoro gani watu wanafanya tu hata bila ya mapenzi na wala hatuwezi kuita ndio kupendana.....mfano baina ya dada poa na customer wake..
But nliya mention ndio mapenzi..hizi ni fikra zangu tu...
Kwangu mie mapenzi ni zaidi ya hivo vitu...au sijui naota lol
 
Last edited by a moderator:

farkhina uko wapi nikuoe????????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom