Kupenda kukoje?

Kupenda kukoje?

Umeelezea vizuri sana na ni ukweli kabisa that feeling when you're love is very special and amazing. Saa zote unakuwa na furaha kubwa sana ambayo haielezeki na mara nyingi humfanya mtu atabasamu kwa muda mwingi sana hata akiwa pekee yake na wanadai hata moyo huwa " unatabasamu"

Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.
 
Umeelezea vizuri sana na ni ukweli kabisa that feeling when you're love is very special and amazing. Saa zote unakuwa na furaha kubwa sana ambayo haielezeki na mara nyingi humfanya mtu atabasamu kwa muda mwingi sana hata akiwa pekee yake na wanadai hata moyo huwa " unatabasamu"

Mkuu hata kama nje mabomu yanarindima wewe unasmile.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mm mwenyewe cjawahi kupenda nackiaga tu watu wamegombana kisa mwanaume ila mm wanaume wote naona km kaka zangu!!
 
inakuwa na nini au ndio imeungwa maana skuiz naskia mpaka chai haioni ndani
Hiyo ninayoongelea ni natural feeling, ambayo kila binadamu ana iexperience, unakuta the most power full man in the world lakini kuna corner anakonda mwenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hiyo ninayoongelea ni natural feeling, ambayo kila binadamu ana iexperience, unakuta the most power full man in the world lakini kuna corner anakonda mwenyewe.

Aaaa mimi bado madam labda nikikja muheza utanifundisha live sina fujo 😵😵😵 yaani sintokupa wakat mgum kama baba mwenye nyumba
 
Mm mwenyewe cjawahi kupenda nackiaga tu watu wamegombana kisa mwanaume ila mm wanaume wote naona km kaka zangu!!

Eee totoo na utuone ivo ivo huwa hatuna urafiki wa kivileee na uadui wa kivileee
 
Habari Wanajukwaa

Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbayaaa, Wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano

Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo

NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida

Jimwage mdau wewe sema yote ntakuelewa TU
Una undugu na Miss Natafuta?
 
Na bahati pia ya kukutana na mwanaume ambaye ataufungua moyo na akili yake kumuonyesha penzi la ukweli.

Kama bado unaishi duniani utakutana nayo tu, omba uzima.
 
Lini sasa wakati nimeanza kuzeeka!!

wadada wa namna yako huwa ni watam na wanadum kwenye mahusiano maana hamkeri mnakutana mnanjanjuwana kila mtu anaenda kukutana na family yake
 
Na bahati pia ya kukutana na mwanaume ambaye ataufungua moyo na akili yake kumuonyesha penzi la ukweli.
Yah, mara nyingi tunashindwa kusoma nyakati, unakuta mwanaume anaekupenda kwa dhati unamdharau unatawapenda wale wadanganyifu.
 
Back
Top Bottom