Kupenda kukoje?

Kupenda kukoje?

Wewe si unakitoto ulichokitoa bikra umekiri mwenyewe uwezi kukiacha,lazima mapenzi yalege kwa mkeo
Yaani mkuu huyo dem ni mzuri kweli lakini yeye ndo ameniganda mzee nakosa pa kupumulia ASA kumuacha nashindwa coz alishawahi sema nikimwacha nitaona
 
Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.

Am 44 now sjaona hizo reaction za kikemikali
 
Ukimpenda mtu, unapomwona tu, moyo unaanza kudunda boom, boom, boom.... Na moyoni utakuwa radhi kumpa CHOCHOTE anachotaka. Nasema chochote maana ndivyo ilivyo-iwe ni nyumba au gari au chochote. Mpenzio asipokupigia simu siku nzima, lazima utataharuki. Na akisafiri unam- miss ile mbaya. Kama wewe ni mwanamke halafu feelings kama hizo hujawahi kuzipata, basi kitaalamu wewe unaitwa 'frigid' (yaani huna hisia bali ni 'baridi' kama friji). Kama wewe ni mwanaume, basi ni wale wanaoitwa 'players' - hatulii, anaonja kila kitu na hachagui. Mtu wa kawaida lazima anafika mahali anapenda kwa dhati. Mara nyingi mtu anayeshindwa kupenda kwa dhati ana jini mahaba linalomsumbua. Atajikuta anaota ndoto za ngono n.k. Duniani hakuna kitu kitamu kama kuwa na mtu anayekupenda na wewe unampenda-hakuna! Hata ukiwa na matrilioni ya dola kama huna mtu anayekupenda kwa dhati (sio kwa sababu ya pesa zako), utajiri wako ni bure. Yaani utamu wa kupendwa acha tu!!!!

Mmmhhhhh hapo juu kwenye bold, italic, underline..... Huwa ni kipindi cha mwanzo tuu.... Miezi 2-12 .... ikizidi sana miaka miwili ya mahusiano......... Sikumbuki kama hivi vitu vipo applicable kila wakati, kila saa miaka nenda rudi..... Majukwaa hapa yasingejaa malalamiko na vioja vya mapenzi kila kukicha.....!!!!
 
Watu wakisha ruka na kukanyagana vinabakia vimbwanga tu alaf watu wanasema kuna love ya jumla jumla hii ni full reja reja mnooo
 
Kupenda ni ile hali ukimuona yule unaempenda kuna chemical/hormonal reaction kwenye mwili wako ambayo hata wewe huwezi kuielezea. Uko radhi kufanya chochote kwaajili ya yule unaempenda, hata ukiwa umekasirika ukisikia tu jina lake hasira inamalizika. Ni feeling moja amazing, pole sana kama hujawahi kuiexperience.
Itabidi unipe darasa ili nami nipate kuyajua hayo mavituz,nipo tayari kulipia huduma hiyo tafadhali.
 
Never !!

Ushawahi kuona mtu anajua kuendesha baiskeli afu akastop kwa muda then akasahau totally..?

Yeyeyeye mdau kila siku zinakuja mbinu na mitindo huru yakufa mtu yaani usifnanishe na kitu kingine chochote huu mchezo unabadilika kuliko google wanavyobadili futures zake
 
Wanawake bhanaa!!

Mwisho tutakuja kuwatoa vizazi....! Sio kila staili zinafaa ...! Zingine ukiziona sio lazima shemela akupe...
 
kitaalam kwa week mara 3 | inamaana kwa mwez ni mara 12 | ukihesabu night mbili morning long drive moja

unapata umekwea mara ngapi kwa mwez ? ila wanaume kaz tunayo asee ndio maana hata sazingine unakosa nafas ya kula viserengeti ratiba home unakuta imebana mbyaaaa

mdau hawa sio delicate kama unavyohisi 😀
 
Yaani kwa mwezi nigegede mara 12 ?

Mkuu unatoka mikoa ya pwani nini?

Samahani lakini
 
kitaalam kwa week mara 3 | inamaana kwa mwez ni mara 12 | ukihesabu night mbili morning long drive moja

unapata umekwea mara ngapi kwa mwez ? ila wanaume kaz tunayo asee ndio maana hata sazingine unakosa nafas ya kula viserengeti ratiba home unakuta imebana mbyaaaa

mdau hawa sio delicate kama unavyohisi 😀
Yaani 12 in month...wife si atazaa kama mbuzi sasa?
 
Back
Top Bottom