Kupenda kukoje?

Mr natafuta leo umekuja na uzi hujui maumivu ya mapenzi. Na leo miss natafuta kaja na uzi anatafuta bf wa uhakika amechoka kuruka ruka. Mmhh sijui mnajuana nyinyi au mtu mmoja ID tofauti.


Ndukiiiii
 
Mr natafuta leo umekuja na uzi hujui maumivu ya mapenzi. Na leo miss natafuta kaja na uzi anatafuta bf wa uhakika amechoka kuruka ruka. Mmhh sijui mnajuana nyinyi au mtu mmoja ID tofauti.


Ndukiiiii

hivi vitoto hum vinakera sii kidogo tunajuwana ?
 
1480744297388.jpg
 
Habari Wanajukwaa

Wana body habari za muda huu, ni weekend nyingine tena mwaka unakimbia speed mbayaaa, Wanabody nimekuwa nikisikia watu wakiumizwa na kuumiza kwenye mahusiano

Mimi sijui ni tatizo au vipi ila kwanza sijawahi penda sasa hii ni hali ya kawaida au imekaaje please hebu nijulisheni wataalam wa haya mambo

NOTE: sii kwamba sijihusishi na hizi mbio nop nishapiga rally zote za kirafiki na official ila ile kumpenda mdada live sijawahi kabisa na akinipotezea nachuna wala siumii sasa sijui ni tatizo au ni hali ya kawaida

Jimwage mdau wewe sema yote ntakuelewa TU

Hebu wasiliana na Miss Natafuta, maana na yeye kuna thread anaulizia jinsi ya kumpenda mtu watulie, mna double coincidence of wants nyie.

Ushauri: Nifanyeje niishi na mwanaume bila kumuudhi?
 
Ukimpenda mtu, unapomwona tu, moyo unaanza kudunda boom, boom, boom.... Na moyoni utakuwa radhi kumpa CHOCHOTE anachotaka. Nasema chochote maana ndivyo ilivyo-iwe ni nyumba au gari au chochote. Mpenzio asipokupigia simu siku nzima, lazima utataharuki. Na akisafiri unam- miss ile mbaya. Kama wewe ni mwanamke halafu feelings kama hizo hujawahi kuzipata, basi kitaalamu wewe unaitwa 'frigid' (yaani huna hisia bali ni 'baridi' kama friji). Kama wewe ni mwanaume, basi ni wale wanaoitwa 'players' - hatulii, anaonja kila kitu na hachagui. Mtu wa kawaida lazima anafika mahali anapenda kwa dhati. Mara nyingi mtu anayeshindwa kupenda kwa dhati ana jini mahaba linalomsumbua. Atajikuta anaota ndoto za ngono n.k. Duniani hakuna kitu kitamu kama kuwa na mtu anayekupenda na wewe unampenda-hakuna! Hata ukiwa na matrilioni ya dola kama huna mtu anayekupenda kwa dhati (sio kwa sababu ya pesa zako), utajiri wako ni bure. Yaani utamu wa kupendwa acha tu!!!!
 
Mr natafuta nakushauri mtafute Miss natafuta atakufaa zaidi kukutatulia tatizo lako.
 
Back
Top Bottom