Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
life is a very big joke....saga chupa kunywa na bia halafu umsubiri rehema aje.....
Saga chupa kunywa na bia halafu umsubiri rehema aje.....
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwaJamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. Nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. Yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
Teh teh teh jombaaaaduh! Hujanisahau tu...
Nenda kwenye "Search Line" RFA.....! Sijui hutokea lini kwa wiki....! Vinginevyo, ushauri wa hashycool ni wa maana pia....!Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila mafanikio wajamen nimekata tamaa mwenzenu, namba ya cmu alishabadili niliyokuwanayo.NIfanyeje?
Acha kueleza stori nusunusu.....!umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
teh teh teh jombaaaa
umenikumbusha nilikuwa nimemaliza shule kwenye basi akapanda gari mkaka mmoja nrb gari ilikuwa imejaa kabisa alikuwa anawai issue zake dsm akangangania kupanda hata kama hamna siti, akasimama akachoka then akaniambba akae kidogo tukawa tunashear siti yangu hadi tukafika akanipa no yake nikaipoteza na mimi nilimpa ya sister. nadhani alimpigia sister hawakuelewana maana sister aliniambia kuna wenzako wa shule wanakutafuta kwenye no yangu sema siwaelewi maana kuna mvulana anasema alisoma na wewe sasa mimi nilisoma girls sister akaamua kumpotezea. yaani its almost 8 years now lakini namkumbuka sana i wish ningempata sasa hv. he is always in my mind with all my love anaitwa
siweziduh! Hujanisahau tu...
network ilikata anaitwa chacha mwitaNenda kwenye "Search Line" RFA.....! Sijui hutokea lini kwa wiki....! Vinginevyo, ushauri wa hashycool ni wa maana pia....!
Acha kueleza stori nusunusu.....!