Kupenda hadi kupitiliza - neno la hekima

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.
 
Hmmmm.....huu ushauri una mlengwa mahsusi ama? Na huko kupenda hadi kupitiliza ndo kukoje?
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Kazi ipo mwaka huu.
 
Utapimaje kiasi cha penzi la kubakiza? utabakiza wapi na kwa ajili ya nani?

Ukiwa mapenzini huwezi kugeuzwa kuwa mtumwa au ndondocha wa mapenzi, kunyanyasika, kukosa utulivu na amani etc. By the time unahisi unafanyiwa hayo, hutakuwa mapenzini.

Labda ungeshauri wasipende/wasijiingize kwenye mapenzi ili hayo yote yasiwatokee, kama kuna ambao yanawatokea.
 
mwanakijiji pole, wameshakujeruhi tayari? ndio kujifunza huko...siku nyingine hutarudia
 
Haahaa! Kama mapenzi yangelikuwa ni mahesabu ya chemistry ya equation balancing basi ni kweli mtu ungeliweza kuivungua valve mpaka kiasi fulani ili usipitilize ikaleta balaa. La hasha! Mara nyingine yanakwenda mpaka yasiko takiwa kufika kiasi kwamba mtu haoni, haambiwi wala hasikii. Kama akijeruhiwa basi hata kilo kadhaa huwa zinapotea!
 
mzee avatar ya zamani ilikuwa nzuri sana na inayoonyesha hashima kubwa zaidi......................... hii ya sasa unaonekana kama mzee anayeweza kuingia sebuleni kifua wazi huku kukiwa na mkwewe kamtembelea.................. mwanakijiji aliposhauriwa arudishe avata ya zamani, alituheshimu wasomaj wake,..................................... nawe tafadhari ridisha avatar ya zamani........................... ni ushauri tu

sorry,.............. niko off topic.....................
 
nooooo....you rock ndahani....big up
 
mwanakijiji,
it looks like SOMETHING IS EATING YOU UP!

vipi,haudhani kwamba unapaswa kwenda clinics kama wakina..................
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Hujajua raha ya kupenda na kupendwa weye! Huwezi kumpenda mtu eti kwa 5% kwa kuogopwa kufanywa mtumwa, kunyanyaswa, kukosa utulivu na amani ya moyo, utakuwa na wivu au kugeuzwa ndondocha. Huu unaoupigia debe ni ufisadi wa penzi. You either love some one or you don't, but you can not be in between. Ushauri kama huu wa kufanya ufisadi wa penzi haustahili kabisaaaaaaa....kama penzi limekushinda basi ni bora uwaachie wenye kujua kupenda kuliko kujiweka katika kundi la kupenda kwa 10% au hata asilimia ndogo zaidi ya hiyo. Utajisikiaje huyo anayekupenda akikwambia kwa kugopa hayo uliyoyaandika hapo juu basi anakupa penzi lake kwa 5% tu?

ooh.. no my dear..siku hizi miye sugu.. siwapi nguvu ya kuniumiza hivyo tena...

Usidanganye bwana! hakuna usugu katika mapenzi. Nyie ndiyo mnapenda robo robo hao mnaowadangaya kama mnawapenda wakikutana na wanaojua kuonyesha penzi la nguvu na kuwapora wake zenu au wanawake zenu mnaaza kurusha matusi ya nguoni, yule mwanamke malaya sana alinidangaya kunipenda kumbe tapeli tu, tumetoka naye mbali sana na blah blah nyingi tu za kumdhalilisha kwa watu wengine. Kumbe wala hana umalaya wowote bali kakutana na mtu aliyemuonyesha penzi la hali ya juu, akamjali na kumthamini kwa kiwango cha juu na kujiona kama yuko peponi. Ukiamua kumtamkia mtu kwamba I love you, nakupena basi umpende jumla jumla vinginevyo ni penzi la kifisadi na kumpotezea mtu muda wake halafu akika kukukimbia uanze kumtusi.
 
Ukiamua kumtamkia mtu kwamba I love you, nakupena basi umpende jumla jumla vinginevyo ni penzi la kifisadi na kumpotezea mtu muda wake halafu akika kukukimbia uanze kumtusi.

absolutely.. penda kwa kadiri yako yote.. ukipitiliza vikikugeuka usilie!!
 
kifua hicho unawatanisha akina nanihii
Conquest-ukwaju chachandu au juice
 
Hahaha have been there done that! Maumivu ni zaidi ya malaria.

u make me happy with ur pic mambo we acha kupenda sawa sawa na njaa unapokuwa nayo bora hayo malaria yanatulia
Conquest-ukwaju chachandu au juice
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.
Kweli kabisa nakubaliana na wewe mzee wa busara....

I too believe that whatever you do, do it in a moderation, never go to excess, let moderation be your guide.”
 
Back
Top Bottom