Kupenda hadi kupitiliza - neno la hekima

Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

MM, tatizo linakua kama ukimpenda asiyekupenda ndio atakufanyia vituko kukuletea pressure na kijeba cha roho. Kama ukubahatika kupenda akupendae basi maisha ni tambarare hakuna raha kama hiyo, na usipopenda kabisa you are almost dead.
 
Is is practical! Kwamba umpende mtu nusunusu, mi sidhani kama inawezekana. Mapenzi ni kujiachia, nusu nusu ina maana leo unagonga huku kesho kule kucover ile nafasi uliyoacha wazi.
 
Kupenda ni zaidi ya matendo na wala haihusiani na udhaifu wa umpendae ni kutoka rohoni. Ukipenda huoni madhaifu na unasamehe makosa kirahisi sana.

Suala la kuumia kwenye mapenzi lipo huwezi kulikwepa hasa kama unaempenda bado hajakupenda. Kama una uhakika unampenda m2 50% or 80% unajidanganya bado hujapenda unatafuta tu kampani ya kukufaa na ndio maana unaweza ukaiacha kirahisi bila kuumia.
 
nyie ndiyo mnapenda robo robo hao mnaowadangaya kama mnawapenda wakikutana na wanaojua kuonyesha penzi la nguvu na kuwapora wake zenu au wanawake zenu mnaaza kurusha matusi ya nguoni, yule mwanamke malaya sana alinidangaya kunipenda kumbe tapeli tu, tumetoka naye mbali sana na blah blah nyingi tu za kumdhalilisha kwa watu wengine. Kumbe wala hana umalaya wowote bali kakutana na mtu aliyemuonyesha penzi la hali ya juu, akamjali na kumthamini kwa kiwango cha juu na kujiona kama yuko peponi. Ukiamua kumtamkia mtu kwamba i love you, nakupena basi umpende jumla jumla vinginevyo ni penzi la kifisadi na kumpotezea mtu muda wake halafu akika kukukimbia uanze kumtusi.

alooo!
full kujiachia!
 
Kupenda ni zaidi ya matendo na wala haihusiani na udhaifu wa umpendae ni kutoka rohoni. Ukipenda huoni madhaifu na unasamehe makosa kirahisi sana.

Suala la kuumia kwenye mapenzi lipo huwezi kulikwepa hasa kama unaempenda bado hajakupenda. Kama una uhakika unampenda m2 50% or 80% unajidanganya bado hujapenda unatafuta tu kampani ya kukufaa na ndio maana unaweza ukaiacha kirahisi bila kuumia.

Penda jumla jumla mapungufu ya umnpendaye yaweke pembeni na umpende kama ambavyo wewe utataka upendwe, maana huwezi kukubali ukiambiwa na umpemdaye kwamba anakupenda kwa 70% tu na hiyo 30% anamwachia nani?
 
Kupenda siwezi kuweka kwa mahesabu....au % lkn for sure now am wiser na nafahamu use ur head as the heart cannot be ruled.....
 
Usimpende mtu hadi ukapitiliza na kukufuru; hakikisha unabakisha vinginevyo utageuzwa kuwa mtumwa wa mapenzi, utanyanyaswa, utakosa utulivu na amani moyoni, utashikwa na kijiba cha roho (wivu), na utageuzwa ndondocha wa mapenzi... ni ushauri tu.

Hivi Kupenda kupitiliza mtu huamua au hutokea tu involuntarily?
 
Mmmh!

Very sensitive topic!
Mwanakijiji ukishaanza weka mipaka ya kumkublia mpenzio kwa % wewe mwenyewe unakuwa hujiamini!

Ni sawa na kuijenga nyumba nzuri sana kisha ukaiziba nyumba hiyo kwa mabati na kila aina ua uzio unaoona wewe unafaa! Uzuri wote wa nyumba hiyo utapotea naamini ndivyo ilivyo kwenye mapenzi;

Tunapenda pasipo mipaka na wakati mwingine pasipotarajiwa na walioko nje!

Hekima inayotakiwa kutumika hapa hapa ni kumwonyesha umpendaye kuwa pamoja na kumpenda kwako kote bado hutokuwa tayari kumridhisha yeye hata pale anapodhihirika kukusea eti tu kwa sababu wewe unampenda!

Umpendapo mtu ni pamoja kuusimamia ukweli wa mambo yote mnapokua pamoja! Katika Imani yangu tunaamini kuwa mkioana mmnafanyika mwili mmoja!

Haya ya kupenda na kubakiza si kitu chema na madhara yake nadhani makubwa kuliko faida utayopata!

Nimeongelea mapenzi yanayo zaa ndoa nikiamini kuwa hakuna mtu aliyetayari kujitoa kwa mwenzie kwa ajili ya mapenzi ya muda mfupi!
 
Mwanakijiji samahani kama amekukwaza, mimi nimeipenda hii.
oh, Na samahani kama nimekukwaza pia!lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom