Upo!!heri ya mwaka mpya...tena unakuta kanachukuliwa na gari alfajiri eti kwenda shule...mtoto anaamshwa saa 11 au hata 10 alfajili ili asichelewe basi...halafu basi linafika shule saa 2!!mi naonaga ni kuwasumbua watoto tu jamani... sema watasema wapo busy
mtoto wa mwaka? kama shida ni beki tatu kwani huko daycare anaenda kulelewa na nani?kama wewe sio mwanamke, hujapata adha ya mabeki tatu, una mtoto mdogo na ni mfanyazi.....ruksa kuongea
nawe pia mkuu .. nipo mkuu tunawaharibu watoto basi tu tuaniga vitu vya ajabu ajabu tu ila madhara yake ni makubwa badae.. wanabeba na matabia ya ajabu hukoUpo!!heri ya mwaka mpya...tena unakuta kanachukuliwa na gari alfajiri eti kwenda shule...mtoto anaamshwa saa 11 au hata 10 alfajili ili asichelewe basi...halafu basi linafika shule saa 2!!
ha hahaa hakumbe umeliona na wewe hili .. sehemu ya kutembea mtoto kwenye school busni ushamba tu.wengine shule zipo mtaani ila atampakiza mtoto kwenye school bus
hujui day care mtoto analelewa na nani?mtoto wa mwaka? kama shida ni beki tatu kwani huko daycare anaenda kulelewa na nani?
hata Mimi wananichefua Sana.
vitoto vidogo miaka miwili wanavikomaza bure.
watoto wanaenda Shule hawajui shule ni nini, ndio maana wanafika miaka mi4 wanakataa shule.. maana wamechoka .
wangoje hata angalau miaka mi5 kidogo wanajitambua kwa mbaali.
Tena wanafanyiwa na interview kabisa kabla ya kuandikishwa hahahaha."Waleeni watoto katika njia iwapasayo"
Wakati mwingine unaweza kuwa mtu mzima kabisa lakini usiwe mzazi bora!...
Mtoto mdogo mwenye umri Wa mwaka mmoja, au mmoja na nusu Leo hii imekuwa fasheni wazazi kumwandikisha kuanza chekechekea au babycare center!
Kiukweli kumwanzisha mtoto mdogo shule mapema kiasi hiki ni kumharibu mtoto pasipo kujua; anaichoka shule mapema na baadaye kuigharimu familia!
Wazazi badilikeni...
Tumeona hayo pia had Kwa wasanii .kina Aunt nani cjui na vichanga vyao chekechea cjui vinasoma nini.
Je mnavyowasukaga na yale marasta kilo 6 kichwani je?mi naonaga ni kuwasumbua watoto tu jamani... sema watasema wapo busy
miaka mitatu sawa ila chini ya hapo wanachoka hasa zile babycare zipo mbaliJamani mie naona sawa tu ila miaka 2 ni midogo wangu nikimpeleka na miaka 3 na sasa ana mi5 yuko std 1
Ni kweli, ila suluhisho siyo kumpeleka shule mapema.kama wewe sio mwanamke, hujapata adha ya mabeki tatu, una mtoto mdogo na ni mfanyazi.....ruksa kuongea