miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kule naogopa namba nyingi za madalali
Cjui kwann cjawahi kuwaamini kabsaa wale watu
"Wengine ni watoto wa shule tu, wanapiga picha magari ya mama zao wanatuletea kupatana ukipiga simu uulize anakwambia ishauzwa afu week ijayo unaona tena gari ile ile kaweka tena"Naona watu wataanza ku ignore matangazo ya kupatana
unakuta page mbili zote matangazo yana email tu na email feki
Kupatana.com ni kama eBay?
Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.
Si watu binafsi, si taasisi za serikali.
Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.
Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.
Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.[/QUOTE
Mkuu tra,sumatra,tic wanajibu fasta