Kupatana.com mnaboa sana....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Unakuta tangazo mtu anauza kitu
lakini hakuna namba ya simu
kuna email tu
hiyo email ukituma kuulizia hiko wanachouza
hawa reply...
hata kusema tu kama kimeshauzwa
na sio tangazo moja
unakuta matangazo 20 hivuo hivyo
kwa kweli inaboa sana
jitahidini mpige marufuku matangazo yasiyo eleweka hasa yasiyo na simu no..
ni usumbufu mno

mtu mwisho ataona matangazo yotee ya kupatana.com ni feki ...
inaboa sana....
 
Kama kuna mtu alishawahi kujibiwa Email yake aje atoe udhibitisho hapa.
 
kuna email tu
hiyo email ukituma kuulizia hiko wanachouza
hawa reply...

Kupatana.com ni kama eBay?

Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.

Si watu binafsi, si taasisi za serikali.

Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.

Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.

Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.
 
Si watu binafsi, si taasisi.

Sasa si bora waweke namba za simu kama email inasumbua??
 
Kupatana.com ni kama eBay?

Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.

Si watu binafsi, si taasisi.

Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.

Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.

Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.

I am not sure about ebay inavyo fanya kazi
but kupatana wao hawauzi chochote
mtu anaweka tangazo lake na anachouza halafu anaweka mawasiliano yake

now hapo ndo kwenye shida
mtu anauza kitu mfano gari
halafu kaweka email tu ya mawasiliano
hiyo email imekaa kimagumashi magumashi mno
haioneshi kama ina ukweli na ukituma email hupati reply

sasa unaweza kukuta matangazo ya dizaini hiyo yamejaza page
yote hayana simu no ni email na ni magumashi tu...

yapo matangazo ambayo pia yana no za simu na unawapata wahusika

now ninachowaomba hawa kupatana wajaribu ku screen tu matangazo
ambayo hayana no ya simu wasiyaweke
waweke yenye email ambazo ni genuine na mtu unaweza kupata majibu
otherwise soon watu wataona everything mule ni magumashi na utapeli wata ignore
 
Basi nadhani hiyo business model ni kama ile ya Craigslist.com

Kibongo bongo bado sana aisee.
 
Kupatana.com ni kama eBay?

Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.

Si watu binafsi, si taasisi za serikali.

Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.

Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.

Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.

Mtu anamiliki barua pepe ila hana jinsi ya kuingia kwenye hiyo barua pepe mara kwa mara.

Aidha, aende ofisini au internet cafe.
 
Tuko tofauti saana! Mimi niko active zaidi kwenye kujibu email kwa wakati kuliko simu yangu. Ila ulioandika hapa ndio ukweli.
 
Mtu anamiliki barua pepe ila hana jinsi ya kuingia kwenye hiyo barua pepe mara kwa mara.

Aidha, aende ofisini au internet cafe.
hapana, tatizo wabongo sisi sio wazingativu, mbona mimi nasoma na kutuma email kwa kutumia ki itel cha elf30 tu
 
Kupatana.com ni kama eBay?

Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.

Si watu binafsi, si taasisi za serikali.

Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.

Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.

Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.
Wanakua wameshau password
 
Back
Top Bottom