Kupata VVU si kazi rahisi

Kupata VVU si kazi rahisi

HIV hailetwi na wingi wa bao unazopiga,inatokana na mgusano wa umajimaji hususani damu baina ya watu wawili kupitia sehemu za mwili zenye michubuko,zaidi ya hapo labda uwe umezaliwa nao!
 
Kuna watu wenye roho ngumu zaidi ya wanamgambo wa ISIS yaani demu mlipotezana zaidi ya miaka na miaka then mnakuja kukutana halafu unapiga kavu du! Noma sana
 
Karudie tena kupiga gem then uje na mrejesho
 
Inawezekana kabisa kutoopata kwani mimi pia kaka yangu aliishi na mkewe amaye alikuwa ameathirika almost for 5 years but mwanaume alikuwa hana!
Hii ni kweli kabisa nna shuhuda nyingi juu ya hili
 
Dah! Ngoja nikapime tu, inawezekana ninawasiwasi wa bure kumbeeee
 
Mkuu ukimwi wa miaka hii sio kama ule wa miaka 80 bandugu,
Ule ukiingiza kichwa tu ukitoa, baada ya miezi 6 unaanza kuarisha, kukonda na kuishiwa nguvu.
Mwezi moja mbele unatokwa na mkanda wa jeshi, uvimbe shingoni na utando mweupe mdomoni.
Ukifikisha miezi mitatu unakonda unabaki kama skelatoni, majipu mpaka pale pakunyea haja.
Miezi 4 unaharisha kama ngisi, majimindonda kwenye koo, ukikohoa unajamba, majiupele kila mahali.
Ukimwi ule ulikuwa noma, wadadu siku hizi wamekuwa mashoga.
Unaweza kulala na waathirika 20 na visikuingie
 
Mkuu ukimwi wa miaka hii sio kama ule wa miaka 80 bandugu,
Ule ukiingiza kichwa tu ukitoa, baada ya miezi 6 unaanza kuarisha, kukonda na kuishiwa nguvu.
Mwezi moja mbele unatokwa na mkanda wa jeshi, uvimbe shingoni na utando mweupe mdomoni.
Ukifikisha miezi mitatu unakonda unabaki kama skelatoni, majapu mpaka pale pakunyea haja.
Miezi 4 unaharisha kama ngisi, majimindonda kwenye koo, ukikohoa unajamba, majiupele kila mahali.
Ukimwi ule ulikuwa noma, wadadu siku hizi wamekuwa mashoga.
Unaweza kulala na waathirika 20 na visikuingie
🙂😀😀😀😀😀😀😀
 
Nyinyi ndio wale mkipata dada poa mnahesabu kila shilingi mia kwa dakika.
angalau sijawahi tembea na dadapoa mpaka umri huu ila nikilala na mwanamke mara nyingi huwa zinafika sita kama anakaa usiku mmoja kesho anaondoka kwa hiyo hapo nilikuwa half way.
 
angalau sijawahi tembea na dadapoa mpaka umri huu ila nikilala na mwanamke mara nyingi huwa zinafika sita kama anakaa usiku mmoja kesho anaondoka kwa hiyo hapo nilikuwa half way.
Morning glory ni moja ya vile sita au?
 
Back
Top Bottom