Kupata VVU si kazi rahisi

Kupata VVU si kazi rahisi

mkuu nilikuwa nakuheshimu sana lakini kwa hili umeniangusha ,hujaonana na mtu miaka Kenda halafu unamvamia na kumpiga goli tatu bila kinga
mkuu endelea tu kuniheshimu mara mojamoja huwa tunakosea.
 
kapime mku usitake tukupe darsa za vijidudu kwa kitaalam


victim kuna wale wadudu wa miezi mitatu hawa ni wengi sana hutumia muda huu mfupi kushambulia seli za mwanadamu

six month baathi ya victim ambao hawa hua wana kinga nzuri kidogo virusi hutumia muda ili kushambulia immudity

one year hawa ni watu ambao wana kinga nzuri vijidudu hutumia mwaka mzima kuzaliana na kuhalibu kinga ya mwili

note: unaweza kua hauku ambukiwa kweli but jaribu kipa mwaka tangu ufanye tendo

kumbuka kupima kila baada ya miezi mitatu
duh sasa wewe unanitisha ili vipi kwa mwaka mzima nisione hata dalili.
 
Probabilities of HIV transmission per exposure to the virus are usually expressed in percentages or as odds. For example, the average risk of contracting HIV through sharing a needle one time with an HIV-positive drug user is 0.67 percent, which can also be stated as 1 in 149 or, using the ratios the CDC(Centre for Diseases Control US)prefers, 67 out of 10,000 exposures. The risk from giving a blowjob to an HIV-positive man not on treatment is at most 1 in 2,500 (or 0.04 percent per act). The risk of contracting HIV during vaginal penetration, for a woman is 1 per 1,250 exposures (or 0.08 percent); for the man in that scenario, it's 1 per 2,500 exposures (0.04 percent, which is the same as performing fellatio).

As for anal sex, the most risky sex act in terms of HIV transmission, if an HIV-negative top—the insertive partner—and an HIV-positive bottom have unprotected sex, the chances of the top contracting the virus from a single encounter are 1 in 909 (or 0.11 percent) if he's circumcised and 1 in 161 (or 0.62 percent) if he's uncircumcised. And if an HIV-negative person bottoms for an HIV-positive top who doesn't use any protection but does ejaculate inside, the chances of HIV transmission are, on average, less than 2 percent. Specifically, it is 1.43 percent, or 1 out of 70. If the guy pulls out before ejaculation, then the odds are 1 out of 154.
Kwa maana hiyo hapo juu,ni kweli kabisa kupata VVU si rahisi ila pia inategemea sana factors kadhaa kama number ya virusi(viral load),matumizi ya ARVs,matumizi ya vilainishi(KY),preparation kabla ya tendo,utayari ktk tendo,etc
Nakuelewa mtoa mada
 
Ngoja nite elimu hapa
ukimwi unapatikana sana sehemu hizi MAJIMAJI YA UKENI, DAMU, SHAHAWA

Na unaenezwa kwa njia ya ngono zembe. Hawa jamaa hawawezi kupita kweny intact skin. Wanapita sehemu yenye mchubuko au sehemu ambayo kuna mchubuko ambao damu yaweza kupita sasa ikitokea cross contamination mwenye mchubuko akakutana na niliyoyaeleza hapo lazima uambukizwe

Zingatia
a usinyoe mav*z* kabla hujaingia mzigoni
b ukimaliza kumwaga kojoa mkojo na uoshe uume wako
c ukiona ile fluid inaisha usilazimishe mpaka mkachubuana
d na kwenye kiss usipigane busu wakati una vidonda mdomoni (mate hayana maambukizi ili kuambukizwa kwa unatakiwa unywe lita ya mate sasa hii haiwezekani
e na wenye group o ni rahisi kuambukikuliko kuambukizwa
 
Na ugonjwa sugu uliokufanya uende kwenye maombi ni upi?
 
Ngoja nite elimu hapa
ukimwi unapatikana sana sehemu hizi MAJIMAJI YA UKENI, DAMU, SHAHAWA

Na unaenezwa kwa njia ya ngono zembe. Hawa jamaa hawawezi kupita kweny intact skin. Wanapita sehemu yenye mchubuko au sehemu ambayo kuna mchubuko ambao damu yaweza kupita sasa ikitokea cross contamination mwenye mchubuko akakutana na niliyoyaeleza hapo lazima uambukizwe

Zingatia
a usinyoe mav*z* kabla hujaingia mzigoni
b ukimaliza kumwaga kojoa mkojo na uoshe uume wako
c ukiona ile fluid inaisha usilazimishe mpaka mkachubuana
d na kwenye kiss usipigane busu wakati una vidonda mdomoni (mate hayana maambukizi ili kuambukizwa kwa unatakiwa unywe lita ya mate sasa hii haiwezekani
e na wenye group o ni rahisi kuambukikuliko kuambukizwa
1.Hakuna study yoyote iliyothibitisha kwamba blood group O ni rahisi kupata HIV...so huo ni upotoshaji.
2.Kuosha uume mara baada ya tendo hakuzuii ww kupata HIV kama michubuko ilitokea ndani wakati wa tendo.
 
Kuna Shangazi yangu alifariki kwa ugonjwa huu miaka kumi na tano iliyopita, yeye pamoja na wanawe wadogo wawili.

Lakini cha kushangaza mumewe yuko poa mpaka leo hii, ameshapima zaidi ya mara hamsini, lakini hajakutwa na maambukizi.
Ni mzima wa afya kabisa!
 
Muda bado kapime baada kama mwaka mmoja hivi
nilichogudua hapa i kwamba kila mtu anazungumzia hhisia lakini hakuna mtalaam ni nposbo kwamba mtuanaeza kupiga uzinzi na muathirika na asipate ko mimi nakualiana na mkuu na ni kweli imetokea na mimi ni shahid wa hilo.for further fact ntakuja tena..
 
Back
Top Bottom