Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,222
- 87,484
mfanyakazi bora wa mwakaKuna sehemu nilivaa kitenge cha picha mama halafu jamaa wakaiweka hiyo picha kwenye page ya Ofisi, aisee ni noma.

mfanyakazi bora wa mwakaKuna sehemu nilivaa kitenge cha picha mama halafu jamaa wakaiweka hiyo picha kwenye page ya Ofisi, aisee ni noma.

Hela tunazipata lakinimfanyakazi bora wa mwaka![]()
Konyagi tatu sio nzuri kwa afya mkuu. Piga moja tu ya kuchangamsha akili halafu endelea na lager au liteMimi nikipiga konyagi zangu 3 kila mwanamke ni pisi kali kwangu. Hata kama una sura kamba punda wa kimakonde unakua toto si toto. Na ndio maana hadi waleo hawajawahi nidhalilisha coz nawapa misifa kama yote ili wasije kuniteka.
afya kivipi kiongozi kwani figo natunzia nani. Sa konyagi moja hapo n sawa na kunipa andaz la mia ati ntashiba. (bt asante kwa ushauri huo mwingne atautumia mimi pombe sinywi ndugu yangu.)Konyagi tatu sio nzuri kwa afya mkuu. Piga moja tu ya kuchangamsha akili halafu endelea na lager au lite
Mungu mwenyewe anaangalia moyo,kata pombe mkuu..unaenda mlingishia nani figo mbinguni?afya kivipi kiongozi kwani figo natunzia nani. Sa konyagi moja hapo n sawa na kunipa andaz la mia ati ntashiba. (bt asante kwa ushauri huo mwingne atautumia mimi pombe sinywi ndugu yangu.)
morning, duh umetisha kwa kweli,Mungu mwenyewe anaangalia moyo,kata pombe mkuu..unaenda mlingishia nani figo mbinguni?
good mornille!😎morning, duh umetisha kwa kweli,
good mornille!