Hhhmm... HA hapo mwisho umeniacha kapa. Unamaanisha kama ninae nimwache kwasababu mimi sio size yake/yeye sio size yangu na nisubirie milele maana hamna anaeniweza/nnaemuweza?Lizzy mama...wanao watakua na mama bora!...Nakutakia akili njema daima...km unaishi katika falsafa zako basi nikiri mume wako hajazaliwa bado...whoever uliyenae na mume wa mtu mwingine!
Mimi nakubaliana na wewe kabisa, kuna wanume wanawake chuki wakikataliwa na mwanamke mimi huwa siweki chuki....namtukana afu yanaisha:biggrin:
Lizzy; Kwani namtukana nayeye anasikia...mimi namtukana kimya kimya hata hajui kama nimemtukana na wala hatasikia ....Sisi tunaita technology mpya za matus....Yani data za matusi ( dirty data) tuna baki nazo wenyewe.... :biggrin:Hata kumtukana ni ulimbukeni mwingine. Kubali umeshindwa ukajaribu bahati kwingine.
..."Kinachoniuma ni kitendo cha kunitangaza kuwa ameniacha wakati mimi ndiyo nimemuacha"
Njoo basi unavalisha gaguro na sindiria, afu uchukie silaha yangu uizamishe kabisa ndani ya kikapu chako nisi-ione tena.Acha ubibi wewe.....lol!!! Unamtukana ili iweje???
Njoo basi unavalisha gaguro na sindiria, afu uchukie silaha yangu uizamishe kabisa ndani ya kikapu chako nisi-ione tena.
Wewe swali lako unuliza kwa kihuni, inabidi tukujibu kihuni kama wewe.fazaaaaa......mbona umekimbilia kunena kwa lugha as if hujaliona swali jombaaa??
Mwanamke kamili bado ujanijibu kule kwenye thread yako nyingine!!.........otherwise unirudishie asante yangu au uzibe wewe hilo pengo.Hata kumtukana ni ulimbukeni mwingine. Kubali umeshindwa ukajaribu bahati kwingine.
Lizzy; Kwani namtukana nayeye anasikia...mimi namtukana kimya kimya hata hajui kama nimemtukana na wala hatasikia ....Sisi tunaita technology mpya za matus....Yani data za matusi ( dirty data) tuna baki nazo wenyewe.... :biggrin:
...lol...hayo ndio maneno niliyoyasoma dogo Almasi akilalama kuhusu mlimbwende "Goodness"...
kukataliwa/kuachwa kunauma, ...unahitaji uwe na moyo wa chuma kama mbu hapa ninavyojifariji na "...likuepukalo lina heri nawe!"
Matola unadhanu mwanamke kamili anapatikana baada ya lisaa?Nipe muda bana. . .Mwanamke kamili bado ujanijibu kule kwenye thread yako nyingine!!.........otherwise unirudishie asante yangu au uzibe wewe hilo pengo.
Nafikiri pia namna unayomuambia mtu ina determine reaction yake....kuna wadada/wakaka wana lugha za kejeli sana....kama una sababu za kutokukubali ombi la fulani,basi fanya hivyo kwa heshima na busara...wengine hadi kijiji kijue alimkataa fulani,au unaanza mkosoa as if yeye hastahili kuwa na mtu kama wewe....Heshima kitu kizuri sana,hakuna duniani anayependa kukataliwa,so lets do it kindly,kama ambavyo ungependa wewe ufanyiwe....ushauri mzuri dearest!