MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,233
- 22,317
High claiming power ni nini? Kwa uandishi wako huu hata hiyo arts uliyosoma ulipendelewa...Kama sayansi sio kulalili tumia tumia kiingereza chako kujibu biology uone kitakacho kukuta....Luna maneno ya kibiologia lazma utumie...phy ndo kabisa usiseme ,,,state Archimedes principle,ohms law,law flotations, paschal principle,Charles law,Boyle's law, tumia language yako kustate uone kitakacho kukuta...chemistry ndo pasua kichwa ni kumeza kama yalovyo,,organic chemistry, mole concept,,,,, huwezi jubu kwa lugha yako unavojua unaandila kikemia zaidii...tatizo ukweli unauma...wanaosoma hayo masomo wana high claiming power..sio kwa zile formular aisee....