Kupapaswa....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kupapaswa Makalio..

Nyie wapenzi wa soka hasa ligi ya primia mshaona hili.
Mchezaji tuseme wa Man U akicheza vizuri uwanjani utaona mchezaji mwenzake au hata kocha wake kama Sir Alex Furgerson , akimpiga piga makalio...mimi nadhani ni ishara ya pongezi..well done..well done.
Lakini Afghanistani! Weeeee. Mwiko.
Wanajeshi wa marekani au uingereza wanaohudumu huko wamewahi kipigwa risasi kwa kuwapapasa au kumpiga piga Mattako mwanajeshi wa Afghanistan.
Sasa wizara ya ulinzi ya Afghan imeamua kutoa mafunzo maalum kwa wanajeshi wake kwamba kubalini kupapaswa makalio na wamarekani hizo kwao ni ishara za pongezi au salamu.
Mafunzo haya maalum yamenza baada ya visa vya wanajeshi wa Afghan kuwauwa wanajeshi wa marekani katika siku za hivi karibuni.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi wa Afghanistan Zahir Azimi amesema wanajeshi wote karibu laki mbili watapewa mafunzo ya kuwaelewa Wamarekani na kukubali salamu zao.
Mwaka huu peke yake wanajeshi wa Afghan wamewapiga risasi na kuwauwa walimu wao wa kimarekani 45. Kwa kumbe sababu ni hizo za kupigwa pigwa makalio eti ni pongezi.
Kwa Mafghanistan hakuna pongezi za hivyo.
Source: BBC 2.jpg
 
Kupapaswa Makalio..

Nyie wapenzi wa soka hasa ligi ya primia mshaona hili.
Mchezaji tuseme wa Man U akicheza vizuri uwanjani utaona mchezaji mwenzake au hata kocha wake kama Sir Alex Furgeerson , akimpiga piga makalio...mimi nadhani ni ishara ya pongezi..well done..well done.
Lakini Afghanistani! Weeeee. Mwiko.
Wanajeshi wa marekani au uingereza wanaohudumu huko wamewahi kipigwa risasi kwa kuwapapasa au kumpiga piga **** mwanajeshi wa Afghanistan.
Sasa wizara ya ulinzi ya Afghan imeamua kutoa mafunzo maalum kwa wanajeshi wake kwamba kubalini kupapaswa makalio na wamarekani hizo kwao ni ishara za pongezi au salamu.
Mafunzo haya maalum yanenza baada ya visa vya wanajeshi wa Afghan kuwauwa wanajeshi wa marekani katika siku za hivi karibuni.
Msemaji wa Wizari ya Ulinzi wa Afghanistan Zahir Azimi amesema wanajeshi wote karibu laki mbili watapewa mafunzo ya kuwaelewa Wamarekani na kukubali salamu zao.
Mwaka huu peke yake wanajeshi wa Afghan wamewapiga risasi na kuwauwa walimu wao wa kimarekani 45. Kwa kumbe sababu ni hizo za kupigwa pigwa makalio eti ni pongezi.
Kwa Mafghanistan hakuna pongezi za hivyo.

Source: BBC

boflo nimekumissije,natoka kukuulizia huko kwenye tread nyingin!upo mkuu?me miss yu na zile picha zetu zile!
 
we ukishikwa nyandu lazima ureact, ukicheka lazima ataendelea! Halafu yatakuwa mengine.
 
boflo nimekumissije,natoka kukuulizia huko kwenye tread nyingin!upo mkuu?me miss yu na zile picha zetu zile!

Asante snowhite ...nilikuwa niko na exams.....jana nimemaliza
 
Last edited by a moderator:
Boflo, in an environment where (mostly) everyone is str8 like soccer and the army, a little azz smack is harmless. Huko Afghan wame-misintepret na ku-overeact.
 
Hahaha mi nadhani ni kuheshimu tu tamaduni za eneo husika, kwa wazungu kupigana vibao vya kwenye kijungu ni powa tu....
Wakati waarabu au wapersia(mfano waafighanstan) si ajabu kukuta mwanaume na mwanaume wanamwagiana mabusu bwerereee!
 
Kosa kubwa sana naweza kukukata hata na panga............kama hupendi na kuheshimu utamaduni wangu na wewe siuheshimu wa kwako
 
Kupapaswa Makalio..

Nyie wapenzi wa soka hasa ligi ya primia mshaona hili.
Mchezaji tuseme wa Man U akicheza vizuri uwanjani utaona mchezaji mwenzake au hata kocha wake kama Sir Alex Furgerson , akimpiga piga makalio...mimi nadhani ni ishara ya pongezi..well done..well done.
Lakini Afghanistani! Weeeee. Mwiko.
Wanajeshi wa marekani au uingereza wanaohudumu huko wamewahi kipigwa risasi kwa kuwapapasa au kumpiga piga Mattako mwanajeshi wa Afghanistan.
Sasa wizara ya ulinzi ya Afghan imeamua kutoa mafunzo maalum kwa wanajeshi wake kwamba kubalini kupapaswa makalio na wamarekani hizo kwao ni ishara za pongezi au salamu.
Mafunzo haya maalum yamenza baada ya visa vya wanajeshi wa Afghan kuwauwa wanajeshi wa marekani katika siku za hivi karibuni.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi wa Afghanistan Zahir Azimi amesema wanajeshi wote karibu laki mbili watapewa mafunzo ya kuwaelewa Wamarekani na kukubali salamu zao.
Mwaka huu peke yake wanajeshi wa Afghan wamewapiga risasi na kuwauwa walimu wao wa kimarekani 45. Kwa kumbe sababu ni hizo za kupigwa pigwa makalio eti ni pongezi.
Kwa Mafghanistan hakuna pongezi za hivyo.

Source: BBC

Wamarekani hapa siwaelewi, kwanini wasifundishwe wao namna nyingine ya kuwapongeza wanajeshi wa Aghanistan? Hata kwa hapa Tanzania, nikiona mwanaume anampapasa mwanaume mwenzie huko maeneo abadan asilani sintamuelewa kabisa! Kwa hili naamini hata ndugu yangu fazaa ataniunga mkono!
 
Mkuu umeongea point ya maana sana...hii inatokana na wao kudharau tamaduni za wengine....
 
Wamarekani hapa siwaelewi, kwanini wasifundishwe wao namna nyingine ya kuwapongeza wanajeshi wa Aghanistan? Hata kwa hapa Tanzania, nikiona mwanaume anampapasa mwanaume mwenzie huko maeneo abadan asilani sintamuelewa kabisa! Kwa hili naamini hata ndugu yangu fazaa ataniunga mkono!
HorsePower Kabisa kabisa niko na wewe hapo :poa
 
Kwao makaio ni chakula safi...The best na ndio maana hata cameroon anataka dunia nzima ifanye hivyo... so mtu akikukupengeza kwa kuyashika ni heshima kubwa sana kwako.
 
Aiseeeee babaangu MKUU ROMBO yaani unajaribu kucheza na moto eeehhhh???Yesu na Maria.haya bwana nenda ila ukipigwa utulie tuli kama maji mtungini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom