BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Jaribu kukaa kimya baada ya kukwazika bila kutia neno lolote, na kama aliyekukwaza anataka uongee basi mwambie naomba unipe muda na kama hakuelewi anaendelea kukuzingua basi ondoka mahali pale kama inawezekana wewe kuondoka. Kila la heri.
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.