Kupaniki

Kupaniki

Mii nataka kujua, ukishapanic what next

Madhara ya kupanic, inakusababisha msongo wa mawazo coz amani hutoweka.. pia inapoteza ukaribu na watu kwa vile watakuchukulia negativelly.. etc.
 
Njoo kwangu kila ukipanic ni makofi, unakula mikanda mpaka utaacha...
 
usiniambie kuwa dawa ya moto ni moto.

Ndo ivo... unaleta kupanic apa... ni mangumi tu na baada ya hapo tunapiga game nzito nyege zote zinaisha nakulanda maumivu kupanic kwisha
 
Ndo ivo... unaleta kupanic apa... ni mangumi tu na baada ya hapo tunapiga game nzito nyege zote zinaisha nakulanda maumivu kupanic kwisha[/QUOTE
Utakuwa hunitendei haki.
 
Ndo ivo... unaleta kupanic apa... ni mangumi tu na baada ya hapo tunapiga game nzito nyege zote zinaisha nakulanda maumivu kupanic kwisha

utakuwa hunitendei haki
 
Wanawake wanaopanic kirahis huwa na maamuz ya ajabu sana inabid kudhibit

Ni kweli kabisa,, hata mimi nimeona inavyoniathiri coz wakati mwingine nakuwa na maamuzi ambayo mara nyingi hujutia.
 
Ni kweli kabisa,, hata mimi nimeona inavyoniathiri coz wakati mwingine nakuwa na maamuzi ambayo mara nyingi hujutia.

Inabid uwe na mume mbabe kias, then sweety utanyooka tu
 
Inabid uwe na mume mbabe kias, then sweety utanyooka tu

Ashalijua tatizo langu, kwa hiyo akiona mambo siyo anajinyamazia zake kimyaaa,,, so mimi inakuwa inaniumiza kinoma.
 
nina wasiwasi Isyaa na loveissweet ni mtu mmoja.

Sasa na kama sio MTU mmoja tukufanye nini? Type address yako tuje , uone sura na maumbile yetu, Aaaaaaaaaaaaaaaaaa.. Listen I'm loveissweet only sina jina jingine dear Huu ndio ukweli. Asante!
 
Last edited by a moderator:
Sasa na kama sio MTU mmoja tukufanye nini? Type address yako tuje , uone sura na maumbile yetu, Aaaaaaaaaaaaaaaaaa.. Listen I'm loveissweet only sina jina jingine dear Huu ndio ukweli. Asante!

Unajua imani ya watu wengine ni ndogo sana mamy,mpaka hapa hatuna namna ya kumuaminisha kuwa siyo.
 
Unajua imani ya watu wengine ni ndogo sana mamy,mpaka hapa hatuna namna ya kumuaminisha kuwa siyo.

Ni Kweli kabisa. Ndio maana nimemuambia atupe home adress then tumuendee hapo alipo, Aaaaaaaahaaa natania though . Asante !
 
Back
Top Bottom