Sio vitu utasoma kwa med books, vingine utavipata kwa forums ka hivi...
Aaaaaahhhaaaa una mambo weye, Haya my teacher ,and doctor from FJ. Asante.
Sio vitu utasoma kwa med books, vingine utavipata kwa forums ka hivi...
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Mmmmhh....kweli????
Dear hii nime jaribu lakini ,Bado nastruggle nayo. Ila nitajaribu tena kusema Kweli. Asante kwa ushauri .
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Wahi nafasi ni chache....
wewe ndiye mleta mada?
Tafuta a boy friend, stress zitaisha.
Hasira ni kujikosesha amani mwenyewe...labda nikuulize ukikasirika aim yako haswa inakua ni nini???je ni unamuonyesha mtu kua amekukwaza au???huoni kwamba unaweza ukawa unajiumiza mwenyew bila ya muhusika kuelewa jinsi unavyojisikia
I personally think hasira ni kutokujipenda mwenyewe..true happiness comes from within,jifunze kuwa above hasira zako wewe ndo uzicontrol na sio hasira ikucontrol wewe..mtu akikukwaza na bado ukawa na furaha inside you itamuumiza yeye mwenyew lakini kumuonyesha hasira haisaidii,pia jitahidi kukaa kimya hadi hasira ikiisha
Good future expectation nyingi ndio maana unapanic o yo
Jitengenezee mazingira ya kuchukulia poa vitu hasa kwa kujichanganya na wenzako,pia ukikutana na jambo mfano mtu kakukera usimtolee kauli yoyote ile mpk pale hasira zako zitakapokuwa zimeisha apo sasa unaweza kumfuata na kumwelekeza akitaka ugomvi potezea tena ukiendelea hivo itasaidia japo kidogo kwani mi mwenyewe huwa sumtym napanik na solution huwa ni kukaa bila kunena chochote
Acha kutudanganya dear. Ukiwa nae stress ndio zinaongezeka loooohh aaaaaahhaa!
Labda stress zitaongezeka kwa sababu haujiamini.
Ooh please give me a break we are all know the truth here. Kila kukicha watu wanalia kwa sababu ya mapenzi na sio sababu ya kutojiamini . Main reason ni selfishness ya wapendanao Either mwanaume or mwanamke. Lakini vilio vingi vinatoka kwa wanadada , jinsi wanavyotendwa na hao wanaume. Sasa hebu niambie , pia Bado ni kutojiamini? Asante.
Basi dada yangu, naona unajiamini kwa maneno yako. Uko wapi nikupe offer leo?
Huna tatizo la kupaniki bali una tatizo la KuTOKUJIAMINI. Njoo pm