- Thread starter
- #21
Kama una hasira sana, jaribu kutokuwa mwepesi wa kujibu kitu, kaa kama dakika 30, ukitafakari then hasira zitatoweka!
Asante mkuu Stamina; ntazingatia.
Kama una hasira sana, jaribu kutokuwa mwepesi wa kujibu kitu, kaa kama dakika 30, ukitafakari then hasira zitatoweka!
mkuu uwe unasaga mirungi ukiwa unasaga hii kitu unatulia na unakuwa hupendi fujo ukiona mtu anakuzingua unaondoka zako hii ndio faida mojawapo ya mirungi
Una boyfriend?
Jinsi ya kujizuia na hasira.
1. Jiamini
2. Jaribu kupunguza mikwaruzano na watu e.g. usiahidi kitu usichoweza kutimiza. Kuwa mkweli n.k.
3. Heshimu kila mtu bila kujali hali yake, wala mali zake.
4. Tambua kuwa hakuna kitu kama kutukanwa. Yaani matusi huwa ni maneno tu, hayaongezi wala kupunguza kitu. Kwa mfano mtu akikwambia k*ma ya mama yako. Take easy ni maneno tu kwani wewe siyo k*ma wote mmezaliwa kupitia hukohuko. Matusi yanakuumiza na kukupandisha hasira pale ambapo akili yako itakapo aamua kuona umetukanwa.
5. Unapokuwa na argument na mtu uwe na chupa ya maji. Anapoongea kitu chukua chupa ya maji unywe. Wakati unakunywa maji unajipa nafasi ya kutafakari na kupunguza pressure. Piga funda la maji kabla hujaongea kitu.
6. Acha fikra za mashindano, kukomoa na vitu kama hivyo. Uwe mtu wa ku mind your own business.
7. Tambua kuwa makosa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Mtu anapokosea kitu usiangalie sana makosa aliyoyafanya. Angalia ni namna gani mtarekebisha makosa. Jitahidi kutoongea kwa sauti ya juu wakati unataka maelezo kutoka kwa mtu aliyekukosea. Uliza tu maswali yale yatakayo kuwezesha kutatua tatizo lilosababishwa na mkosaji. Kwa mfao mtu kamwaga kitu, una muuliza kwa ulikuwa hauoni? Huna macho? Haya ni maswali yatakayokupansisha hasira kwa sababu mkosaji hatakuwa na majibu ya moja kwa moja.
4.
Lakini pia kunywa maji ukijisikia hiyo hali ni tiba nzuri sana.
Kwani hasira zina matokeo negative na hayo matokeo ndio tatizo lenyewe. Ukinywa maji kwanza kiafya yako wewe mwenyewe ile hasira itapungua na itasababisha hata yale uliyokua ukiyawaza yatoweke kila kitu kitakua shwari. Kidogokidogo hasira iyaisha. Lakini unywe maji mengi hata lita moja.
Na mimi nilikua hivyo baada ya tiba hiyo kwa muda sina tena hasira. Lakini pia ujifunze kureason vitu vinavyokupa hasira.
Hilo sio tatizo tena, sababu umeshajitambua una tatizo, swala la kujiuliza ni kwamba hili tatizo lilikuwepo toka zamani au ni recently limeanza kukusumbua?
Kama ni recently, basi kuna Factors for the cause, either kuna kitu unakikosa ambacho once ulikua nacho, na inawezekana una some regrets pia kutokana na kukikosa hicho kitu.....
Inaweza kua upande wa Mahusiano ya kimapenzi, kikazi au kifamilia yanakusumbua ingawa hayaonekani kwa watu wengine na unayo kichwani mwako....
Lakini solution, if its like that under ceteris peribus inabidi uvipate vile unavyovikosa au fanya altenative for the best ili kupunguza Hasira ambazo zinakupanikisha always.
Na msuba......wewe unakuwa unawaza zako tu mamtoni huna shida na mtu......huku unajipa ma hope hewa........
Kazi ulipata? Nadhani ni stress za kutopata kazi maana ni muda mrefu tangu uulizieHabari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Kazi ulipata? Nadhani ni stress za kutopata kazi maana ni muda mrefu tangu uulizie
Hamia kwangu ni free stress zone...
Ukishaligundua tatizo tayari umeshapata tiba hivyo na wewe kwa kujigundua weakness yako maana yake umeshapona hivyo unachotakiwa ni kuji-control na mtu akikuboa jitahidi kuchukulia poa kwa kutofuatilia hiyo issue kwa undani
Kama una hasira sana, jaribu kutokuwa mwepesi wa kujibu kitu, kaa kama dakika 30, ukitafakari then hasira zitatoweka!
Mmmmmhhhh mpya hii. Since when ? Mara ya mwisho nilipocheki in the medical book sijaona. Aaaahaaa aisee kuna mambo humu ndani. Haya.