mtuwako
Member
- Sep 7, 2014
- 99
- 34
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, nina tatizo ambalo hata mimi mwenyewe linaniumiza sana.. nina tabia ya kupaniki kwa haraka sana hata kama mtu kanikwaza kidogo.. kiukweli natamani niwe na uwezo wa kucontrol hasira zangu but nashindwa,,,, so plezzz wapendwa wangu nisaidieni niwe nafanyaje ili nichukulie vitu simple.. natanguliza shukrani.
Ukitaka kuondoa hasira jifunze kutabasam
Ni dawa tosha ya kuondoa hasira zako mwenyewe ukipenda bora ucheke kabisaaa