Kupanda miti ya mbao

Kupanda miti ya mbao

Sorry kwa kuonekana mkali mana ckupenda tu unaf... Wa jamaa.

Ujasiriamali uliopo hapa naninaohusika nao ni wabidhaa za misitu
1) Mbao (Kuchana nakuuza ikiwemo kusafirisha,)
2) Nguzo (za umeme nasimu)

Kwa upande wanguzo huwa tunanunua kwa wakulima na kuziuza kiwandani ambao wao wanatreat nakuziuza kwenye miradi ya umeme au kwenye makmpn ya simu.

2) Pia kunabiashara ya kupanda miti ya Mbao ama Nguzo (mlingoti)
Hii nikupanda miti after some yrz 8 plus tunavuna. ( lengo la uzi nihapa kutengeneza kikundi kitachonunua ardhi nakupanda miti. Nirahic kwa kutumia group coz inasaidia kimtaji kwamba hata mwenye mtaji mdogo ataweza shiriki napia inarahisisha management.

Kwa upande wangu nitatoa uzoefu wamaeneo mbali mbali katika chain ya hii biashara and nawafahamu baadhi ya wadau wakuu wamisitu nitawaleta tutawatumia. Pia naamin kunawengine watakuja watakuwa nauzoefu wao kwa pamoja tutajenga jambo kubwa.

Yec yec mkuu hapa umeeleweka vyema. Good idea.
 
Bro najaribu kurudia tena. Nimeleta hii post kupata memba waliointerested tufanye biashara coz nipo huku naninaona faida yake nanimegundua ili ufanikiwe zaidi usiwe mwenyewe. So cdhani kama tunaitaji kuzijua changamoto wakati wakujiunga Bali wakati wakupanga.

Nalengo la post sio pia kutoa somo. Kama ulipita huko ikashindikana jaribuni kujifunza kupitia makosa yenu mwendelee tena coz failure its among stages za mafanikio.

Kwa hapa if ur interested jiunge and if ur not pita.
Mjadala wa namna gani ushirika utafanya kazi nautakabiliana vip nachangamoto vyote vitajadiliwa ushirikani.

Ila kama Memba wenu mlikuwa najamii ya wenye hofu natatizo lakutenda kwa ujasiri kushindwa ilikuwa lazima.

Ndugu unajielewa kweli....unajua unachotaka kufanya?? Kwaakili kama hii hiyo Group itakuwa ya namna gani....utafanikiwaje bila kujifunza kwa waliowahi kufanya hizo Project huyo ndg @Malila ungejua kwa kiasi gani amekuwa msaada hapa jukwaani kwenye mambo ya Ujasiliamali usingetokwa Povu nadhani ungemuomba awasaidie Ushauri kutokana na Uzoefu wake.....sasa weee unaleta ujuaji Kumbe hujui kitu duh.....
 
Nashukuru. Mi naendelea tutakutana mbele ya safari.
 
Nashukuru. Mi naendelea tutakutana mbele ya safari.

As a leader unapaswa kuwa na hekima na busara., ila naona kama una miss hivi vitu viwili. Listen and Learn and Lead.
 
Back
Top Bottom