Biboz
JF-Expert Member
- Jun 4, 2019
- 249
- 201
Kwa tunaoishi masaki kawaida sanaa mkuu, kuna wakinga, wachaga , wahehe, wahaya.... na sio kwamba masaki kote ni majumba makubwa makubwaa, zingine za kawaida sanaaaa , nandomaana nakushangaa! Kuishi masaki sio kumaliza mwendo ni huzuni kwakweli ! Nakutakia uchawa mwema bye.sijui utaniita chawa wake ama kunguni,hainishtui ila najaribu tu kutumia akili sio hisia.
kama kutoka usukumani anaishi masaki halafu unaita ni kawaida tu sawa.